Kutokana na tatizo sugu la foleni jijini Dar KLM na Emirates Crewa kutumia Chopa…………

how????? helicopter moja ni zaidi ya milioni 400
bora kuweka airport ndogo bagamoyo
halafu kuwepo na fast boat na sea taxi
itasababisha a big boom ya kibiashara ukanda huo


Yes boss, sidhani kama wakiweka speedboats zitatatua tatizo maana nia yao nia kuwahi kufika airport, ...nina shaka kama hizo boats zitaweza kufika airport, kwa maana hiyo basi, watalazimika at one point kuingia road kwenye msongamano.

Again boss lengo lao sio ku boom biashara yeyote isipokuwa yao. pia sidhani kama hiyo chopper wananunua nadha wanakodi boss, lakini boss kama jamaa wameweza kununua midege watashindwa chopper moja mkuu?

Nasema ni goog idea cause, its the easiest way than kuanza kujenga ports kwa ajili ya crew peke yake, unless they are sure they are here to stay.
 
Back
Top Bottom