Kutokana na support anayoipata, Andrew Chenge anaweza kuwa ni Spika ajae na hii itathibitisha CHADEMA walikuwa sahihi kumteua Lowassa kuwa mgombea wao

Japo mini sio kiongozi ndani ya CHADEMA zaidi tu ya kuwa mshabiki wa hiki chama, ninaamini mwaka 2015 CHADEMA walimptisha Lowassa kuwa mgombea wao baada ya kusoma mood ya watanzania na kuwapa kile wanachokitaka. Ninahakika walikuwa sahihi katika maamuzi yao kwani kilichotokea katika kampeni na kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 kila mtu leo hii ni shahidi.

Tungekuwa na Tume Huru, basi huenda Lowassa ndie angekuwa Raisi wa nchi hii mwaka 2015. Hivyo, kimsingi CHADEMA kama chama kinachota kushika dola, walikuwa sahihi kuwapa watanzania mgombea waliokuwa wanamtaka, ila kosa lao lilikuwa ni ku-ovelook ukweli kuwa hatuna Tume Huru na kumpokea Lowassa katika mazingira yale ilikuwa ni kufanya kosa la kiufundi.

Yote haya yanatokea kwasababu watanzania ni watu wa kupuuza mambo, wengi ni ma-ignorants, wafuata mkumbo, n.k na ndio maana licha ya CHADEMA kuhubiri kuhusu tuhuma za ufisadi wa Lowassa na viongozi wengine wa CCM, bado tu CCM ilikuwa na nguvu katika baadhi ya maeneo ya nchi yetu.

Haya nayoyasema sasa yanadhihirisha au yanakwenda kujirudia kwa Andrew Chenge, mtu aliekuwa na tuhuma za ufisadi, tuhuma ambazo hazikuwa kuchunguzwa na mhusika kufikishwa mahakamani.Cha ajabu,leo hii ndio mtu anaepigiwa chapuo kuwa Spika na msishangae akachaguliwa kwa kura nyingi tu kama ilivyokuwa kwa Lowassa kupata kura nyingi kwenye uchaguzi wa Raisi mwaka 2015 kuliko mgombea yoyote wa upinzani nchi hii.

Hivyo, Chenge akishinda uspika,basi huo utakuwa ni ushahidi tosha kuwa CHADEMA kama chama kilichokuwa kibaraka kushika dola-, walikuwa sahihi kumteua Lowassa ila kosa lao kubwa lilikuwa ni kupuuza au kusahau ukweli kuwa Tume ya Uchaguzi hakuwa huru.

Kama walioko Bungeni watapuuza tuhuma hizi na kumchagua Chenge kwa kura nyingi, kwanini ushangae kwa watanzania wa kawaida kumshabikia Lowassa mwaka 2015?

Najiuliza kama wanasiasa wa nchi hii watakuwa tena na hofu ya kuwa na tuhuma za ufisadi kama ilivyokuwa kwa Andrew Chenge iwapo atashinda uspika.

Hii ndio Tanzania na watanzania!

Caucus ya ccm itakuja na jina moja mjengoni kupigiwa kura baada ya kukanyagana kwenye vikao vya chama.Mtego uko hapo.
 
Tuonyesha ushahidi wa ufisadi ulipo wa wawili hawa
 
Akipita, itadhihirisha pasina shaka kuwa watanzania tuna matatizo makubwa Sana.
 
Back
Top Bottom