Kutokana na Nape baba Januari alikua hana akili kama mwanae | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutokana na Nape baba Januari alikua hana akili kama mwanae

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kukumdogo, May 13, 2011.

 1. kukumdogo

  kukumdogo JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 80
  Kauli iliyotolewa na nape mnauye wakati akijibu mapigo ya cdm, amesema kwamba baba januari alikuwa mbumbumbu kama mtoto wake januari ndio mana chama kikayumba. Sasa chama kitaimarika na kitakuwa pendwa ya watu kwasababu mambumbumbu wote wameondoka. Sasa wananchi wote tukiunge mkono sababu na januari tutamuondoa soon
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kama vile maigizo kwenye maisha ya watanzania.
   
Loading...