Sam pizzo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 846
- 515
Wakuu, habari ya majukumu. Kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya COVID-19 duniani, tunaendelea kuona ni nchi nyingi zimeamua kuchukua hatua ya watu kutoruhusiwa kutembea ama kufanya kazi "lockdown".
Naamini kuna watu wanafanya kazi za mitandaoni wanaweza tusaidia ni jinsi gani sisi wengine tunaweza jikwamua na hili janga la kupoteza ajira kwa kujipatia walau kipato kidogo kwa siku endapo Tanzania watakubaliana na hatua iliochukuliwa na nchi mbalimbali "lockdown".
Sent using Jamii Forums mobile app