Kutokana na mlipuko wa bomu katika mkutano wa CHADEMA, uchaguzi waarishwa jijini Arusha.

hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,648
1,539
Kutokana na mlipuko wa bomu katika mkutano wa chadema uliotokea jana katika viwanja vya soweto kaloleni. uliogharimu maisha ya watu kadhaa na zaidi ya watu 40 kujeruhika, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Tanzania amehairisha uchaguzi mdogo katika kata za jiji la Arusha mpaka tarehe 30/jun/2013.
 
Si vibaya tuwaombee majeruhi wapone haraka ili nao siku hiyo wawepo wapate haki yao ya kuchagua kiongozi wanaemtaka.
 
Napi jana anaongea kwa madaha kabisa eti eeee wananchi wasiwe na wasiwasi na vitisho vya wapinzania ulinzi umeimarishwa pande zote, du kweli umeimarishwa nasi tumeuona hadi raia wabaya wanakuja na mabomu kwenye mikutano ya wapinzani! shame on you nepi!
 
Nimeona post ya Mtela fb kuwa ana uhakika Lema na Mbowe ndiyo wahusika wakuu wa mlipuko huo. Anasema anajua mission hizo kwa kuwa amekua CHADEMA kwa muda. Nadhani Jeshi la polisi lianze na huyu ili kupata wahusika.
 
Kutokana na mlipuko wa bomu katika mkutano wa chadema uliotokea jana katika viwanja vya soweto kaloleni. uliogharimu maisha ya watu kadhaa na zaidi ya watu 40 kujeruhika, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Tanzania amehairisha uchaguzi mdogo katika kata za jiji la Arusha mpaka tarehe 30/jun/2013.

wamemkamata wakala wa cdm wamempora kila kitu alichokuwa nacho kwa mawasiliano wamempeleka Kisongo ili wambambikie kesi ya kurusha bomu
 
Nimeona post ya Mtela fb kuwa ana uhakika Lema na Mbowe ndiyo wahusika wakuu wa mlipuko huo. Anasema anajua mission hizo kwa kuwa amekua CHADEMA kwa muda. Nadhani Jeshi la polisi lianze na huyu ili kupata wahusika.

Mtela ni mpumbavu. Ngoja ije itokee Mbeya afe mamake mzazi
 
Kiukweli bila kubadilisha mfumo wa jeshi la polis na vyombo vya kiusalama kiujumla, taifa letu litakuwa hatiani kiusalama, ccm wana uhuru wa kufanya lolote walitakalo bila kukamatwa na polis, hatuwezi kuendelea na hali hii watanzania kama kweli tunalipenda taifa letu!
 
Tume imetumia busara Mungu awape pumziko la milele marehemu na awape majeruhi faraja na wapone mapema
 
mtela inamaaakili lema akili kama za bush kujipiga mabomu mwenyewe kisha kuvamia nch nyingine sidhani kuna kama kunaviongozi wanaakili chafu kiasi hicho kuumiza wafuasi wao ili wawachafue wengine
 
Kutokana na mlipuko wa bomu katika mkutano wa chadema uliotokea jana katika viwanja vya soweto kaloleni. uliogharimu maisha ya watu kadhaa na zaidi ya watu 40 kujeruhika, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Tanzania amehairisha uchaguzi mdogo katika kata za jiji la Arusha mpaka tarehe 30/jun/2013.

Tusubiri tuone itakuwaje, kama CDM inawapiga kura wengi kuliko CCM nadhani matokeo yatakuwa ni yale yale tu.
 
Back
Top Bottom