Kutokana na Mgao wa Umeme huko Japan nawashauri waje wachukuwe wataalamu Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutokana na Mgao wa Umeme huko Japan nawashauri waje wachukuwe wataalamu Tanzania

Discussion in 'International Forum' started by AirTanzania, Mar 22, 2011.

 1. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Kutoka na Kinu cha nyuklia kupata msukosuko na kuharibika sasa hivi Japan kuna mgao wa Umeme kwa masaa 3 kila siku Asubuhi inategemea na sehemu. Wamesema Mgao utaendele kwa muda wa Mwezi tu na mwisho wa mgao utakuwa End of April na sasa hivi wataalam wa mambo ya umeme wapo busy kuhakikisha umeme mgao unakwisha kabla ya mwezi 1. Kwa kuwa Tanzania tuna wataalam wa mambo ya migao ya umeme ningeomba Serikali ya Kilaza Kikwete ipeleke wataalam ili iweze kuwasaidia wajapan au iwafundishe jinsi ya kufanya mgao.
   
 2. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nice one! :)
   
Loading...