acha ushamba wewe, dar umekuja lini? hilo daraja lipo kabla wewe hujazaliwa na kabla ya serikali ya awamu ya pili, tatu nk.Aliyesimamia ujenzi wa hizo barabara alipaswa kuwa korokoroni hadi sasa. Hilo daraja la Jangwani lilipaswa kuwa juu kuepuka hizi kadhia za miaka na miaka. Nina hakika angekuwa mwingine angeshahusishwa na tuhuma za upigaji. Anyway, nasikia malaika haguswi!
Acha kutetea ujinga wa Kifutu,wakati wanatengeza Mwendokasi Waziri husika na mainjinia wazawa wa Tanroads hawakulijua hilo swala la hapo kujaa Maji wakaliiunua hilo Daraja?acha ushamba wewe, dar umekuja lini? hilo daraja lipo kabla wewe hujazaliwa na kabla ya serikali ya awamu ya pili, tatu nk.
Na hapo jangwani wau walikuwa wana cheza , mpira na hata Papa alipokuja Bongo wakati wa awamu ya pili Misa iliendeshwa hapo.
Lakini leo hii kuna matete nk hivyo kuwa kikwazo cha maji kutembea na mengineo, hapo ni wataalamu kukaa na kuona ni jinsi gani ya kutaua hilo tatizo nasio siasa za ccm vs cdm au za kiongozi huyu vs kiongozi fulani
Hapo Jangwani miaka ya nyuma sana palikuwa pana jaa maji kama unavyoona sasa,ila Kampuni moja ya ujenzji inaitwa Kajima walipanyanua hapo pakawa juu na hiyo shida ikaisha,sasa sijui wamefanya nini wajuzi wa mambo hapo,ile hali imerudia tena kama miaka ile...Aliyesimamia ujenzi wa hizo barabara alipaswa kuwa korokoroni hadi sasa. Hilo daraja la Jangwani lilipaswa kuwa juu kuepuka hizi kadhia za miaka na miaka. Nina hakika angekuwa mwingine angeshahusishwa na tuhuma za upigaji. Anyway, nasikia malaika haguswi!
Mkuu walilijua hili na ufumbuzi wake wakaamua kuvunja nyumba za wananchi maeneo hayo bila kulipa fidia yoyoteAcha kutetea ujinga wa Kifutu,wakati wanatengeza Mwendokasi Waziri husika na mainjinia wazawa wa Tanroads hawakulijua hilo swala la hapo kujaa Maji wakaliiunua hilo Daraja?
Hujui unachoongea. Unataka wataalamu wakae tena kwa kuwa kuna mapesa ya yasiyo na kazi? Fursa ya utatuzi ndiyo hiyo project ya BRT walipaswa waitumie vizuri lakini waliichezea kwa sababu aliyekuwa waziri wa ujenzi yeye alikalia mambo ya kukurupuka tu na sasa anajiita jiwe! Shame on Maccm yote!acha ushamba wewe, dar umekuja lini? hilo daraja lipo kabla wewe hujazaliwa na kabla ya serikali ya awamu ya pili, tatu nk.
Na hapo jangwani wau walikuwa wana cheza , mpira na hata Papa alipokuja Bongo wakati wa awamu ya pili Misa iliendeshwa hapo.
Lakini leo hii kuna matete nk hivyo kuwa kikwazo cha maji kutembea na mengineo, hapo ni wataalamu kukaa na kuona ni jinsi gani ya kutaua hilo tatizo nasio siasa za ccm vs cdm au za kiongozi huyu vs kiongozi fulani
Aliyesimamia ujenzi wa hizo barabara alipaswa kuwa korokoroni hadi sasa. Hilo daraja la Jangwani lilipaswa kuwa juu kuepuka hizi kadhia za miaka na miaka. Nina hakika angekuwa mwingine angeshahusishwa na tuhuma za upigaji. Anyway, nasikia malaika haguswi!
acha ushamba wewe, dar umekuja lini? hilo daraja lipo kabla wewe hujazaliwa na kabla ya serikali ya awamu ya pili, tatu nk.
Na hapo jangwani wau walikuwa wana cheza , mpira na hata Papa alipokuja Bongo wakati wa awamu ya pili Misa iliendeshwa hapo.
Lakini leo hii kuna matete nk hivyo kuwa kikwazo cha maji kutembea na mengineo, hapo ni wataalamu kukaa na kuona ni jinsi gani ya kutaua hilo tatizo nasio siasa za ccm vs cdm au za kiongozi huyu vs kiongozi fulani
Badala ya kujenga daraja jipya pale Aga Khan hospital - Kenyatta Drive - lingejengwa la Jangwani!
historically maji hayakuwa yakijaa kukata mawasiliano kati ya mjini na magomeni , zaidi zaidi ni maji kujaa kwa wale waliokuwa wana lazimisha kukaa au kujenga maeneo hayoAcha kutetea ujinga wa Kifutu,wakati wanatengeza Mwendokasi Waziri husika na mainjinia wazawa wa Tanroads hawakulijua hilo swala la hapo kujaa Maji wakaliiunua hilo Daraja?
u don't know nothing kwenye huo mradi na role ya waziri vs other interested parties ktk mradi , shame on U!Hujui unachoongea. Unataka wataalamu wakae tena kwa kuwa kuna mapesa ya yasiyo na kazi? Fursa ya utatuzi ndiyo hiyo project ya BRT walipaswa waitumie vizuri lakini waliichezea kwa sababu aliyekuwa waziri wa ujenzi yeye alikalia mambo ya kukurupuka tu na sasa anajiita jiwe! Shame on Maccm yote!
Nakubaliana na wewe mkuu, daraja la Jangwani lipo chini sana. Ukiangalia yale maji yaliyojaa barabarani yote yameshindwa kupita chini ndio yanatafuta uelekeo mwingine ndio yanarudi mpka pale depot ya mwendo kasi na mengine kupita juu barabarani.Aliyesimamia ujenzi wa hizo barabara alipaswa kuwa korokoroni hadi sasa. Hilo daraja la Jangwani lilipaswa kuwa juu kuepuka hizi kadhia za miaka na miaka. Nina hakika angekuwa mwingine angeshahusishwa na tuhuma za upigaji. Anyway, nasikia malaika haguswi!