Kutokana na kauli Mnyika, Zitto kabwe hana tuhuma yoyote ktk waraka

Status
Not open for further replies.

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Kauli ya john mnyika imeweka wazi kuwa mh zitto kabwe hausiki na waraka huu.
Kwa hoja zifuatazo

1. Waraka tuliopiti hapa jf ni feki
2. Kutokana na kauli ya dk kittlya nkumbo
zitto hausiki kwa namna yoyote kuandaa au kushiriki kuandaa waraka. Ila walikuwa wanategemea kumshawishi zitto kama mm mwaka kesho mwezi wa nne agombee kwa kumuonyesha udhaifu wa uongozi uliopo.

Ni matumaini yetu waraka unamhusu dr na si zitto

watapigana lakini................
Mungu ni mwema
zaburi ya 35
 
mjadala umeshafungwa , wameshapewa barua zenye mashitaka 11. PERIOD
 
Hakuna demokrasia ndani ya chadema bali ni unafiki mtupu. Viongozi wakuu wanafanya ushenzi then hawataki kuhojiwa
 
Kauli ya john mnyika imeweka wazi kuwa mh zitto kabwe hausiki na waraka huu.
Kwa hoja zifuatazo

1. Waraka tuliopiti hapa jf ni feki
2. Kutokana na kauli ya dk kittlya nkumbo
zitto hausiki kwa namna yoyote kuandaa au kushiriki kuandaa waraka. Ila walikuwa wanategemea kumshawishi zitto kama mm mwaka kesho mwezi wa nne agombee kwa kumuonyesha udhaifu wa uongozi uliopo.

Ni matumaini yetu waraka unamhusu dr na si zitto

watapigana lakini................
Mungu ni mwema
zaburi ya 35

Acha upotoshaji....
 
ulichokiandika hakieleweki zaidi ya ushabiki wa kijinga tu ulionao.
 
Umebeba kibuyu hapo juu ie mbichwa badala ya utumie kufikiri unatumia kufugia nywele pekee. Jinga kuu. Period

Shadadieni mambo yenu huko CCM sio kushinda kutwa na mambo ya CDM. Unaugua kiungulia kisa Chadema???
Simbilisi ww!
 
"Tuko imara yamekwisha hatutaki chokochoko"

"Sasa basi tunasonga mbele kujenga chama"

"dr. kitila,zito wamevuliwa nyazifa hakuna sababu ya kuendeleza mapambano"
 
Kauli ya john mnyika imeweka wazi kuwa mh zitto kabwe hausiki na waraka huu.
Kwa hoja zifuatazo

1. Waraka tuliopiti hapa jf ni feki
2. Kutokana na kauli ya dk kittlya nkumbo
zitto hausiki kwa namna yoyote kuandaa au kushiriki kuandaa waraka. Ila walikuwa wanategemea kumshawishi zitto kama mm mwaka kesho mwezi wa nne agombee kwa kumuonyesha udhaifu wa uongozi uliopo.

Ni matumaini yetu waraka unamhusu dr na si zitto

watapigana lakini................
Mungu ni mwema
zaburi ya 35

Ila walio nao CDM ndio uliwahukumu na Mkumbo alikiri kitu ni mwake mwake....sasa sijui point yako nini.Kuwa ulinunua dawa feki za kupunguza makali ya VVU walizochakachua CCM ndio unataka kusema dawa halisi hakuna?
 
Iwe kwa waraka huo au la, Zitto amekuwa kiwingu kizito CDM, na amekuwa na kila dalili ya kutumiwa na maadui wa CDM kwa muda mrefu. Amekuwa na msimamoi wake kinyume na wenzie katika uongozi na huu ni wakati mwafaka wa kumtema! Aondoke tu. Kuna watu wengine wanaosimama mlangoni kuzuia wengine wasiingie, na kama tukiwaacha hatutasonga mbele, lakini tukiwaondoa, watu wengi watamiminika kuingia ndani! Tusiogope kuwaondoa wasaliti na mapandikizi kwa kudhani eti ni wa muhimu sana!
 
akili za watanzania hata mimi sometimes tunaona upande mmoja tu daima , nyerere alitupiga porojo tukamuona kama mungu , ZITTO naye kawapiga porojo tunamuona kama ndiyo CDM . CDM siyo mbowe , slaa, na wengineo ,CDM ni ya wanachama hai , hata hao wa kina mbowe wakileta za kuleta mbona wanatoka tu. chadema wameanza kufanya kazi halisi ya kuimarisha chama sasa imekuwa ni tatizo, bila chadema imara CCM ni kujipitia tu , hata hawa waliopewa muda wa kujieleza ZITO na mwenzake kama kweli walikuwa na mapenzi mazuri wasinge hoji mambo , zaidi ya kujibu tuhuma na kusubiri chama kiiamue lakini walivyo si waadilifu wanaonyesha kama vile wametolewa roho huku wako hai
 
Iwe kwa waraka huo au la, Zitto amekuwa kiwingu kizito CDM, na amekuwa na kila dalili ya kutumiwa na maadui wa CDM kwa muda mrefu. Amekuwa na msimamoi wake kinyume na wenzie katika uongozi na huu ni wakati mwafaka wa kumtema! Aondoke tu. Kuna watu wengine wanaosimama mlangoni kuzuia wengine wasiingie, na kama tukiwaacha hatutasonga mbele, lakini tukiwaondoa, watu wengi watamiminika kuingia ndani! Tusiogope kuwaondoa wasaliti na mapandikizi kwa kudhani eti ni wa muhimu sana!

hayo mengine umeyasema wewe. Kamati imesema kama atahukumiwa itakuwa kutokana na waraka.
Sasa kwa mazingira yalivyo, Zitto atajitoa na kwa kukana kuufahamu waraka.
 
Mimi bado huwa nashangaa sana watu hapa JF!! Si lazima uanzishe thread ya Zitto ili uonekane unafuatilia mambo! Mambo mengi yameandikwa katika thread za mwanzo, jifunzeni kuja na thread zenye mantiki na maana na si kurudia rudia vitu! cc R.B
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom