Kutokana na giza linaloendelea hapa tz wengi tumekimbilia solar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutokana na giza linaloendelea hapa tz wengi tumekimbilia solar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Apolinary, Sep 6, 2011.

 1. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kutokana na giza tororo linaloendelea hapa tz wengi wetu tumekimbilia solar na wind mil.mimi nikiwa mmoja wao tatizo linakuja hiv charger inakuwa haitoi moto unaotoka kwenye invetor nimemleta fundi lakini tatizo ni lile lile nifanyeje?
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Rudi kwa waliokuuzia.
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sasa hapa si jf doctor? jf doctor ana kazi kweli kweli hadi kutibu inventor dah
   
 4. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  <br /> <br / br)tatizo sio kurudi kwa walioniuzia tatizo ni charger control hautoi moto lakini fundi akiwepo inapokea akiondoka inaanza kusumbua tena
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  vp mkuu una mke mzuri nni mana fundi aneza kawa kafanya makusudi ili ae anakuja daily................huh
   
Loading...