Kutoka Julius Nyerere International Convention Centre: Kongamano la Maudhui ya wazawa Kushiriki Mradi wa Bomba la Mafuta ECOP

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,277
9,912
Mgeni Rasmi, Waziri wa Nishati na Madini Mh. January Makamba, wengine ni naibu waziri wa nishati na Madini
 
Huo mrafo ni mwaka wa tano huu tunasikia kelele kuwa utazaa ajira na kufaidisha watz na blahblah nyingi sana.

Binafsi nimechoka kuusikia.
 
Back
Top Bottom