Kutoka Viwanja vya Karimjee:Baraza la Eid Fitiri live kupitia Star tv

Mgeni rasimi ni Raisi Magufuli.Leo sijui atasema nini tena nyie fuatilieni.

Raisi ndio anaanza kuhutubia sasa(17:22)
Hotuba yake leo mbona iko hovyo hovyp sana? Kwa ufupi haiko organised! Sijui anaogopa kwa vile anachosema na hali halisi ni tofauti?
 
Hotuba yake leo mbona iko hovyo hovyp sana? Kwa ufupi haiko organised! Sijui anaogopa kwa vile anachosema na hali halisi ni tofauti?
Mkuu, ndio kwanza anaanza kuongea. Anazungumzia umuhimu wa waislam kushirikiana na wasio waislam kudumisha amani ya nchi
 
Linapokuja Suala la Kuongea na Waislam Rais hutilia sana na pia husoma hutuba yake badala ya kutoa kichwani.Shukran sana Rais John.
 
Safi sana Rais wangu. Naona sasa unawasemea waislam inavyotakiwa hasa hapa unapoahidi kukomboa mali za waislam zilizochukuliwa kifisadi. Rostam Aziz haponi hasa kwenye lile eneo la karibu na uwanja wa taifa
 
Kuna sentensi anairudia mara kwa mara sijui kama ni sahihi au la "ndugu mufti NA shehe mkuu wa Tanzania" hivi kuna shehe mkuu wa Tanzania?
 
Lizaboni - aliyepora uwanja huo maneo ya uwanja wa taifa ni Manji siyo Rostam.
 
Safi sana Rais wangu. Naona sasa unawasemea waislam inavyotakiwa hasa hapa unapoahidi kukomboa mali za waislam zilizochukuliwa kifisadi. Rostam Aziz haponi hasa kwenye lile eneo la karibu na uwanja wa taifa
Uwanja wa Taifa pale ni Manji...Ongea kitu ukiwa na taarifa kamili!!
 
Afadhali ametoa hadharani kuwapima uwezo wa polisi wake,pia pongezi kuwasaidia mahujaji kuliko kuwagharamikia mashekhe toka bagamoyo na kupeleka watu sheikh amri abedi mwisho wa siku wanakutenda!
 
Back
Top Bottom