zipalapwata
JF-Expert Member
- Oct 19, 2016
- 280
- 144
Wadau nilikuwa nauliza kutoka vijidamu kwa msichana mwenye mimba changa Nini tatizo!!
Ha hahaaa mbona umemchagulia bodaboda mkuu na sio gari?Chukua BODABODA haraka sasa hivi kimbia hospitali
Ni vizuri akaenda sasa kwa kweliNi Hali ya kawaida Mwanzoni
Lakin ukiona Hali inaendelea wahi hospital
Boda boda tena? Achukue Taxi au bajaji banaChukua BODABODA haraka sasa hivi kimbia hospitali
Ha hahaaa mbona umemchagulia bodaboda mkuu na sio gari?
Mkuu vyovyote tu....I hope sahv ashafika hospitaliBoda boda tena? Achukue Taxi au bajaji bana
Sawa mkuu,manake Boda boda inaweza kuleta mazara makubwa zaidiKama uwezo upo anaweza kuchukua hata gari akimbie hospitali fasta
Mleta mada ushahuri huu hapa. Ufate na uzingatie hili kwa wakati (Threatened miscarriage) mimba inayo tishia kutoka. Uki wahi kuna management yaku zuia isi haribike zaidi na mtoto ata zaliwa salama uki chelewa itafanyika Evacuation method( abortion). Niki pata mda nita elezea kwa urefu juu ya hili.Threatening abortion
Ahsante nduguKwa kusema 'vijidamu' inaonyesha kiasi cha damu kinachotoka ni kidogo, Hiyo nadhani ni kawaida na kitaalamu wanaita spotting, ni kitendo cha yai lililorutubishwa linapoenda kujishikiza kwenye ukuta wa kizazi,Mishipa ya damu iliyojaa kwenye ukuta huu tayari kulisha kiumbe huachia damu kidogo ambazo mwanamke anaweza kufikiri ni hedhi japo kiwango cha damu kinakua sio sawa na hedhi ya kawaida.
Kwa uhakika zaidi nenda hospitali iliyo karibu nawe utapata maelezo zaidi huko.