SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,342
Si angewapa hata kule Mbeya. Tusitafute sababu.TAKUKURU wammulike kocha wa Tanzania Prison ambaye kwa asilli ni beki wa Zamani wa Yanga, shahidi ni Kimenya. Kwa mahaba yake na Yanga lazima awape point 3 kama alivyofanya ASFC
Sent using Jamii Forums mobile app