Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,262
Salamu Tanzania na duniani kote...!
Patashika ya Ligi Kuu ya Tanzania Vodacom Premier League VPL, Kuendelea tena leo September 29, 2019 kwenye Viwanja tofauti nchi Tanzania, gumzo ni Klabu ya Biashara United wanawakaribisha Mabingwa wa Nchi Simba SC, kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma.
Wenyeji wa mchezo Biashara United bado hawajashinda mchezo wowote wa ligi kuu msimu huu, huku ikiwa imecheza mechi 4 na kupoteza 3 na kutoka sare mchezo mmoja, wanawakabili Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, ambaye amekuwa akipata ushindi wake kwa asilimia 100% akiwa ameshinda michezo mitatu ambayo amecheza mpaka sasa.
••Kulitaka Mwana...Kulipewa Mwana
Ndugu Wanasimba na mdau, tukutane kushuhudia ushindi muhimu pamoja na kandanda safi lililothibitishwa na shirikisho la kandanda Afrika CAF kuanzia saa 10:00 jioni.
••Usikose Ukaambiwa, Next Level NguvuMoja..!