Kutoka Uwanja Karume: Vodacom Premier League 'VPL' Biashara United Vs Simba SC

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Salamu Tanzania na duniani kote...!

Patashika ya Ligi Kuu ya Tanzania Vodacom Premier League VPL, Kuendelea tena leo September 29, 2019 kwenye Viwanja tofauti nchi Tanzania, gumzo ni Klabu ya Biashara United wanawakaribisha Mabingwa wa Nchi Simba SC, kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma.

Wenyeji wa mchezo Biashara United bado hawajashinda mchezo wowote wa ligi kuu msimu huu, huku ikiwa imecheza mechi 4 na kupoteza 3 na kutoka sare mchezo mmoja, wanawakabili Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, ambaye amekuwa akipata ushindi wake kwa asilimia 100% akiwa ameshinda michezo mitatu ambayo amecheza mpaka sasa.

••Kulitaka Mwana...Kulipewa Mwana

Ndugu Wanasimba na mdau, tukutane kushuhudia ushindi muhimu pamoja na kandanda safi lililothibitishwa na shirikisho la kandanda Afrika CAF kuanzia saa 10:00 jioni.

••Usikose Ukaambiwa, Next Level NguvuMoja..!
IMG_20190929_134824_380.jpeg
IMG_20190929_134851_161.jpeg
 
Salamu Tanzania na duniani kote...!

Patashika ya Ligi Kuu ya Tanzania Vodacom Premier League VPL, Kuendelea tena leo kwenye Viwanja tofauti nchi Tanzania, gumzo ni Klabu ya Biashara United wanawakaribisha Mabingwa wa Nchi Simba SC, kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma.

Wenyeji wa mchezo Biashara United bado hawajashinda mchezo wowote wa ligi kuu msimu huu, huku ikiwa imecheza mechi 4 na kupoteza 3 na kutoka sare mchezo mmoja, wanawakabili Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, ambaye amekuwa akipata ushindi wake kwa asilimia 100% akiwa ameshinda michezo mitatu ambayo amecheza mpaka sasa.

••Kulitaka Mwana...Kulipewa Mwana

Ndugu Wanasimba na mdau, tukutane kushuhudia ushindi muhimu pamoja na kandanda safi lililothibitishwa na shirikisho la kandanda Afrika CAF kuanzia saa 10:00 jioni.

••Usikose Ukaambiwa, Next Level NguvuMoja..!View attachment 1218685View attachment 1218686
Kwa wale wakubet wenzangu,.
Simba Win & 3+,
Ukiikuta popote we weka hiyo. Nimeangalia sportpesa haipo hii mechi.
 
Kikosi cha Simba kipo uwanjani kikipasha misuli, tayari kuanza mchezo huu wa VPL..NguvuMoja
 
Back
Top Bottom