Kutoka ukumbi wa mikutano Jiji la Arusha full council, Madiwani wa CHADEMA watoka ukumbini

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,414
2,000
Wamachinga kuchafua jiji ni aibu...Inasikitisha sana..biashara zinafanywa kwenye barabara zilizotengenezwa kwa mabilioni ya shilingi..

Jiji limekuwa chafu..kila kona ni biashara....Mbona mwaka 2014 mlifanikiwa kuliweka jiji kwenye hali ya usafi...leo hii nini kimetokea
Wamachinga kuchafua jiji ni aibu...Inasikitisha sana..biashara zinafanywa kwenye barabara zilizotengenezwa kwa mabilioni ya shilingi..

Jiji limekuwa chafu..kila kona ni biashara....Mbona mwaka 2014 mlifanikiwa kuliweka jiji kwenye hali ya usafi...leo hii nini kimetokea
Kawaruhusu rais wa nchi. Jiji hawawezi kuwatimua ilhali mkuu wa nchi amewafungulia!
Sio uchafu tu,hata mapato ya kodi yanapotea!
Wenye maduka wanatoa bidhaa na kuzipanga barabarani! What a loss!
 

MTOCHORO

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
4,558
2,000
Juzi nilipita Arusha wakati naelekea dodoma, ni aibu kwa halmashauri mnayosema manaiongoza kuwa na stand kichefuchefu ya daladala kama ya Arusha.

Ile stand nilishangaa kuona kutokana na kuwa na mashimo makubwa barabarani hasa eneo la kutokea magari Eti wameamua wajaze kifusi cha udongo wa shambani sio hata kokoto ni udongo kabisa ambao umejazwa katikati ya barabara ya lami kufukia mashimo makubwa achilia mbali hali ya stand yenyewe kuwa kama jalala hakuna hata choo cha stand.

Kwenye masoko ndio Mungu saidia ni uchafu mtupu masoko yapo hovyo hovyo kupita maelezo mnashindwa hata na Morogoro ambalo sio jiji

Nashangaa Arusha inayosifika ikiwa kwenye hali taabani kama Ile chini ya uongozi wa chadema ni hovyo bora hata isingekua jiji kazi yenu chadema ni matusi tu kazi ni zero.
Wewe Utakuwa Mrangi wewe Dodoma ulikokuwa unaoenda kuna Stand
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom