Kutoka star tv: Matokeo ya udiwani kata nyingi nyamagana na ilemela chadema yanyakua


W

wihanzi

Member
Joined
Feb 10, 2009
Messages
62
Likes
0
Points
13
W

wihanzi

Member
Joined Feb 10, 2009
62 0 13
Wakazi wengi na has vijana, wamejaa sana halmashauri ya jiji la Mwanza kusubiri matokeo na matoke hayo kulingana na STAR TV kwa nafasi ya udiwani viti vingi vimechukuliwa na chadema kwa majimbo yote mawili yaani ilemela na Nyamagana.

Ikumbukwe kwamba mmiliki wa STAR TV ndiye alikuwa anagombea kupitia CCM hivyo kuna uhakika wa habari hizi

SOURCE STAR TV
 

Forum statistics

Threads 1,252,206
Members 482,043
Posts 29,800,473