Kutoka 'out' na mpenzi wako, kunapunguza ujasiri kwa wale wachepukaji

Inaonekana shemeji alikua amevaa gauni lake la kitenge na kashika miamala yako yote. I can imagine ulivokua mpole kama vile umepelekwa na bi mkubwa club
 
Tupe location tuone kama kwel.?
Kingine sasa ww unampaje mama pesa zote ashike ww yani hubaki hata na ya shortcall
 
Tupe location tuone kama kwel.?
Kingine sasa ww unampaje mama pesa zote ashike ww yani hubaki hata na ya shortcall
Baada ya kuona tunazidi kubadili viwanja na macho yanaanza kutazama pua; akasema, 'nipe simu yako, salio, na vitambulisho nikutunzie', baada ya kumpatia, akaanza kucheka na kusema, tuone sasa kama utaweza kupiga saundi😂😂😂
 
Yaani hizo sifa zooote ungekuwa unazielekeza kwa mama watoto wako ningekuona unafaa sana mkuu.
shida hawa watu wakijihakikishia umiliki wa Jimbo huwa hawana amsha amsha, unaweza ukalala na mama watoto kavaa tracksuit au utakuta mwingine yeye kila siku anavaa mchupi ka bukta ya mazoezi badala ya g strings au bikini na nightdress nyepesi🤤🤤 yaani hakuna msisimko unaweza kukuta hapo mkuu mkewe alikua kavaa nguo za vitenge au maspesheli badala ya kupiga vimini na vinguo vya uchokozi siku moja moja ka ivo yaani wako outing😅😅😅
 
Baada ya kuona tunazidi kubadili viwanja na macho yanaanza kutazama pua; akasema, 'nipe simu yako, salio, na vitambulisho nikutunzie', baada ya kumpatia, akaanza kucheka na kusema, tuone sasa kama utaweza kupiga saundi😂😂😂
Kama mke umepata
 
Back
Top Bottom