awp
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,711
- 599
Salamu Jf,
Nahitaji msaada wa mawazo mazuri. Jirani yangu mpendwa (she) anatembea na mume wa mtu, mkewe yupo nje ya nchi kwa masomo. 2weeks zilizopita mume kaenda kupima kajikuta ameupata ugonjwa - HIV, kwani mkewe anatarajia kurudi next wk. Cha ajabu aliporudi kwa jirani yangu (Kingasti chake) anamlaumu kwa nini hakumwambia atumie kondom hadi amemwambukiza. Hivyo basi anadai kuwa hajui jinsi ya kumweleza mke wake; anahitaji ushauri wenu aanze vipi kumweleza kwani alipoondoka alimwacha mzima? Wamefunga ndoa na wana watoto 2, nini kifanyike ili mke aelezwe? Lingine analohofu nikwamba akimweleza haki za ndoa si hataweza kuzipata tena; na je ndoa yaweza kutenganishwa na hili?
Punguzeni, majibu makali nahitaji ushauri mzuri.:disapointed: