Kutoka nje ya ndoa bila kondom

awp

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,711
599
Salamu Jf,
Nahitaji msaada wa mawazo mazuri. Jirani yangu mpendwa (she) anatembea na mume wa mtu, mkewe yupo nje ya nchi kwa masomo. 2weeks zilizopita mume kaenda kupima kajikuta ameupata ugonjwa - HIV, kwani mkewe anatarajia kurudi next wk. Cha ajabu aliporudi kwa jirani yangu (Kingasti chake) anamlaumu kwa nini hakumwambia atumie kondom hadi amemwambukiza. Hivyo basi anadai kuwa hajui jinsi ya kumweleza mke wake; anahitaji ushauri wenu aanze vipi kumweleza kwani alipoondoka alimwacha mzima? Wamefunga ndoa na wana watoto 2, nini kifanyike ili mke aelezwe? Lingine analohofu nikwamba akimweleza haki za ndoa si hataweza kuzipata tena; na je ndoa yaweza kutenganishwa na hili?

Punguzeni, majibu makali nahitaji ushauri mzuri.:disapointed:
 
Huyo mwanamme amwambie mkewe tu, hakuna jinsi
La sivyo watawaacha watoto yatima peke yao wakihangaika na dunia, moja yashinda sifuri.

Kichwa chako cha habari hakiendani na mada husika, nadhani uzito umeutoa kwa nini tumshauri mwenye mke anayekuja kutoka nje.

Kichwa cha habari chahusu nje ya ndoa bila kondomu. Kwenye hili wala tusidanganyane, ngono ni ngono tu kama unafanya na mpenzi wa muda mrefu, awe nje ya ndoa au ndani ya ndoa. Ukikaa na mtu muda mrefu likely mtatupa kondomu pembeni, na hakuna kusema itaingia kichwa tu, inazama vile vile kama ndani ya ndoa. Kama hufagilii haya mambo kaa na wako wa ndoa, period. Unless uwe 'eat and lan' ili usije jikuta una-compromise mapenzi bila ndomu nje ya ndoa.
 
cha muhimu ni kumweleza mkewe ukweli, mambo ya unyumba tena hapo ni secondary. Kama mke ataamua kumfikiria wakaendelea with protection good. Ikishindikana, inabidi akubali matokeo na awe mpole.
 
  • Thanks
Reactions: awp

Kitu pekee anachoweza kumsaidia Mwenzake akisha wasiri amuambie ukweli tu kwamba ameathirika hivyo akae naye mbali, wanaweza wakaendelea kuishi pamoja ila kwa tahadhari
 
asante kwa ushauri
 
Kitu pekee anachoweza kumsaidia Mwenzake akisha wasiri amuambie ukweli tu kwamba ameathirika hivyo akae naye mbali, wanaweza wakaendelea kuishi pamoja ila kwa tahadhari
nitamshauri afanye hivyo. sasa mizuka ikipanda atafanyaje
 
Salamu Jf,
Nahitaji msaada wa mawazo mazuri. Jirani yangu mpendwa (she) anatembea na mume wa mtu, mkewe yupo nje ya nchi kwa masomo. 2weeks zilizopita mume kaenda kupima kajikuta ameupata ugonjwa - HIV, kwani mkewe anatarajia kurudi next wk. Cha ajabu aliporudi kwa jirani yangu (Kingasti chake) anamlaumu kwa nini hakumwambia atumie kondom hadi amemwambukiza. Hivyo basi anadai kuwa hajui jinsi ya kumweleza mke wake; anahitaji ushauri wenu aanze vipi kumweleza kwani alipoondoka alimwacha mzima? Wamefunga ndoa na wana watoto 2, nini kifanyike ili mke aelezwe? Lingine analohofu nikwamba akimweleza haki za ndoa si hataweza kuzipata tena; na je ndoa yaweza kutenganishwa na hili?

Punguzeni, majibu makali nahitaji ushauri mzuri.:disapointed:

Du, jamaa amefaidi usingizii, kunakucha ndiyo anagundua kuwa hakujifunika!
Nilishawahi kuchangia mada ya jirani zetu waliokuwa na mkasa kama huu. Mama alikwenda kusoma, akamuacha baba na haousegirl. Alitafuta housegirl mkubwa let say house maid, atakaemudu majukumu ya nyumba na watoto. Bila wasiwasi baba akavuta, baada ya muda maid ameanza kuumwa homa zisisoisha, baba kumpima akagundua ni muathirka na baba akacheck afya yake, pia alikuwa amekwisha athirika.
Baba alichofanya alimsubiri mke wake arudi, alimueleza kabisa kwa manufaa ya watoto ni kheri wasishiriki tendo la ndoa. House maid alipewa pesa akaenda kwao, baada ya muda baba akaanza kuugua, hii ilikuwa ni mwanzo wa miaka ya 90, kwahiyo dawa za kurefusha maisha hazikuwa zinapatikana kama ilivyo sasa.
Mama amebaki na watoto sasa hivi. Ninamsifu baba kwa kuwa mkweli, ingawa mama anajilaumu kwa kwenda kwake kusoma kumeharibu familia.
 
cha muhimu ni kumweleza mkewe ukweli, mambo ya unyumba tena hapo ni secondary. Kama mke ataamua kumfikiria wakaendelea with protection good. Ikishindikana, inabidi akubali matokeo na awe mpole.
Mrembo, Kwakweli itabidi iwe hivyo, mwanamke alivyokuwa mkali sidhani kama patakuwa na usalama.
 
Last edited by a moderator:
Hapa nawaza kama huyo mkewe na jamaa naye huko masomoni hana wake.

Kuingia kwenye ndoa ni kukubali kuwa ipo siku utachitiwa.
 
Du, jamaa amefaidi usingizii, kunakucha ndiyo anagundua kuwa hakujifunika!
Nilishawahi kuchangia mada ya jirani zetu waliokuwa na mkasa kama huu. Mama alikwenda kusoma, akamuacha baba na haousegirl. Alitafuta housegirl mkubwa let say house maid, atakaemudu majukumu ya nyumba na watoto. Bila wasiwasi baba akavuta, baada ya muda maid ameanza kuumwa homa zisisoisha, baba kumpima akagundua ni muathirka na baba akacheck afya yake, pia alikuwa amekwisha athirika.
Baba alichofanya alimsubiri mke wake arudi, alimueleza kabisa kwa manufaa ya watoto ni kheri wasishiriki tendo la ndoa. House maid alipewa pesa akaenda kwao, baada ya muda baba akaanza kuugua, hii ilikuwa ni mwanzo wa miaka ya 90, kwahiyo dawa za kurefusha maisha hazikuwa zinapatikana kama ilivyo sasa.
Mama amebaki na watoto sasa hivi. Ninamsifu baba kwa kuwa mkweli, ingawa mama anajilaumu kwa kwenda kwake kusoma kumeharibu familia.
Hamna jinsi, kwakweli itabidi afanye hivyo. Sasa si umeona faida ya huyo mume angesema ampatie mkewe watoto wangebaki mayatima
 
Hapa nawaza kama huyo mkewe na jamaa naye huko masomoni hana wake.

Kuingia kwenye ndoa ni kukubali kuwa ipo siku utachitiwa.

hapo kwenye red tuu, kwa hiyo unataka kusema watu wasiingie kwenye ndoa? tamaa ni tamaa tuu
 
Back
Top Bottom