Beautifulgirl
JF-Expert Member
- Oct 22, 2016
- 300
- 265
Mwaka 1990 aliyekuwa waziri wa mambo ya nje Robert Hauko wakati huo na Raisi akiwa Daniel Arap Moi alitekwa na kuuwawa kinyama n mwili wake ulipatikana shambani kwake ukiwa umeharibika vibaya kwa kuchomwa moto. Sababu kubwa ya kuuwawa wadadisi na watafiti wa mambo ilikuwa ni mapokezi makubwa aliyopata Marekani pindi walipoenda kwenye mkutano ambapo waziri alipata mapokezi makubwa kuliko Raisi. Baaada ya kurudi tuu ndio mauti yalimkuta . Kumeundwa kamati mbalimbali kushughulikia kifo chake lakini mwisho ziliingia mtini bila kutoa majibu.Kamati ya mwisho iliundwa na Rais Mwai kibaki Pia na yenyewe haikuleta majibu.
Hali ya Nchi yetu sisalama kama tunavyodhania kwani wanaotakiwa kuwa maarufu ni bashite na baba yake. Wenyewe ndio wanatisha watu mawaziri wabunge na wanachi wa kawaida. Wewe ukipishana nao tuuu yatakukuta ya Robert hauko. Fununu zimesikika kwamba wabunge 11 wanatakiwa kuuwawa sasa sijui sababu za kuwaua nini? Wanakubalika sana na wananchi au? Au ni maaarufu kumpita mtu na baba yake. Wanataka wenyewe wafanye siasa lakini wengine wasifanye.
Hebu fikiri tuliahidiwa milioni hamsini kila kijiji mpaka sasa hakuna kitu naukiuliza tuuh wanakuteka.
Tunaambiwa serikali ya viwanda mpaka kesho serikali haijajenga kiwanda hata kimoja kazi kuvamia viwanda vilivyojengwa na watu binafsi. Waziri anayehusika yeye hutembea na viwanda mfukoni ukimuomba tuuu anakupatia fasta.
Maisha yamekuwa magumu kila tukilalamika tunaambiwa wapiga madili.
Ajira hakuna hata serikalin ajira zilizopo ni za jeshi askari polis na usalama kwa kaaaazi maaalum.
Hebu tuoneeni huruma nchi ni ya kwwtu sote kama nikutaka kuwa maaarufu tayari mmeshakuwa maaarufu than us.
Bashite achautekaji leta vyeti