pole sana..kwani haukutumia condom?
pole sana..kwani haukutumia condom?
unaona madhara ya kumtembeza huyo jamaa bila kumvisha viatu? Kaka kila dalili za kaswende,nenda faaaaasta hospital,kusanya na huo mlupo uliokupa sevis hiyo isiyo na tbs nawenyewe ukapate tiba ili usiendelee kuumiza nguvukazi.mind you: Siku hizi naskia gono na ukimwi ni washkaji kama ilivyo tz na umaskini,pima na ngoma!
Kumbuka na huyo demu wako anatakiwa kutibiwa pia. Na mara nyingi wanawake huchelewa kuonyesha dalili.