Kutoka na usaha kwenye uume

barnabie

Member
Jul 13, 2011
44
6
Jamani naomba msaada wenu, natokwa na usaha kwenye uume wangu, na hii imenitokea toka juzi.

Ilianza siku mbili baada ya kufanya mapenzi na msichana mmoja hivi,nataka kujua ni ugonjwa gani huu, pia nijue nitaponaje.

Doctors nahitaji msaada.
 
Kimbia mpaka hospitali,ukiulea ugonjwa inaweza ikaoza kabisa...halafu utabaki hapa duniani unafanya nini. Pima kabisa na ule ugonjwa mkubwa................Siku nyingine tumia kondomu..huoni matangazo? acha kuweka maisha rehani.
 
pole sana..kwani haukutumia condom?

jamani alitumia msimlaumu sanaaa...sema alitumia kuingizia uume kunako uke ili apige bao...katika hatua za awali za fore plays alitumia vidole kuchezea clitoris alivotaka kutia akajisahau hakuosha mikono na vidole vyake kwa kutumia detol soo akawa amejishika uume na kujiambukiza kwa bahati mbaya... THINGS DO HAPPEN SUMTYMES
 
I wonder, wakati huu sio wakati wa kwenda peku. Utakubali raha ya dakika moja iharibu maisha yako. Stay with one partner ikishindika use condoms. Pole kaka. Umeoa, kama ndio, wife umemwambia? Kwa heri, nilikuwa napita.:bange:
 
Mmmmh,ulinogewa mpka ukasahau kingaa? ebu nenda mbio kamuone doctor usifanye maskhara utatumia vildole baada ya nanihiii..
 
Unaona madhara ya kumtembeza huyo jamaa bila kumvisha viatu? Kaka kila dalili za kaswende,nenda faaaaasta hospital,kusanya na huo mlupo uliokupa sevis hiyo isiyo na tbs nawenyewe ukapate tiba ili usiendelee kuumiza nguvukazi.MIND YOU: SIKU HIZI NASKIA GONO NA UKIMWI NI WASHKAJI KAMA ILIVYO TZ NA UMASKINI,PIMA NA NGOMA!
 
Seek immediate medical/clinical measurement to a physian without delay!Otherwise u 'll cry 4rever!
 
Dah ndg yangu na tena ukapime kipimo kikubwa maana zama hizi inakuwa ni "two in one" kwamba penye kisonono ukimwi haukosekani! Pole sana mkuu...
 
kisonono hicho wahi hosspitali. una bahati weyeeee madktari wamerudi kazini, ingenyofoka yenyewe hiyo kitu!
 
unaona madhara ya kumtembeza huyo jamaa bila kumvisha viatu? Kaka kila dalili za kaswende,nenda faaaaasta hospital,kusanya na huo mlupo uliokupa sevis hiyo isiyo na tbs nawenyewe ukapate tiba ili usiendelee kuumiza nguvukazi.mind you: Siku hizi naskia gono na ukimwi ni washkaji kama ilivyo tz na umaskini,pima na ngoma!

0.5mu2, nakuunga mkono asilimia 100 kuhusiana na huyu victim!
Pole sana rafiki!
 
Mbona mnakandia tu hamtoi msaada, kama hamjui si mnyamaze kama kusikia amesikia na hatarudia tena.
Hii ndugu yangu ni dalili ya gonorrhea na matibabu yake ni kama ifuatavyo:
1. Metronidazole tabs 2g stat with food.
2. Doxycycline tabs 100mg bd 7/7.
3. Ciprofloxacin tabs 500mg bd 5/7.
Mpelekee hii masage mtu wa pharmacy atakupa dawa kama hata mind.
Kama baada ya siku 5 bado shida haijaisha ni PM.
Ila kumbuka kupima ngoma afu urudie baada ya miezi mitatu.
Wakati wote kumbuka kuvaa condom. Kumbuka na huyo demu wako anatakiwa kutibiwa pia. Na mara nyingi wanawake huchelewa kuonyesha dalili.
 
pole ndugu kwa kupata gono kwenye dhama za uwazi na condom hadi kwenye maduka ya mchele na sabuni
 
Kumbuka na huyo demu wako anatakiwa kutibiwa pia. Na mara nyingi wanawake huchelewa kuonyesha dalili.

Ushauri mzuri, demu ataanza kumshangaa kwa sababu inaweza chukua hata wiki mbili asipate dalili yoyote ya kisonono, Mh. Mupirocin fanya busara ya kumtibu mwenzi wako na msijamiiane mpaka ipite angalao wiki moja na baada ya kuthibitisha kuwa wote mmepona.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom