kutoka Mwisho wa Reli jamani mpo wakubwa.....???

BABA TUTI

New Member
Oct 12, 2011
1
0
Hodi humu mjengoni....!!kutoka jirani sana na alipokuwa anaishi na kufanya kazi Marehemu mpendwa wenu Che2n2....!!!!!
 
Karibu jamvini... Usitukumbushe vya marhem, bado tuna tunza majeraha...
 
Hodi humu mjengoni....!!kutoka jirani sana na alipokuwa anaishi na kufanya kazi Marehemu mpendwa wenu Che2n2....!!!!!

Kwa nini unaji-promote kwa kutumia umaarufu wa marehemu???????????? tuambie wewe ni nani, kwa nini umeamua kubisha hodi humu...nk. japo briefly. Anyway karibu bana, mengine utajifunzia humu humu... experiance is the best teacher.... wahenga walisema.
 
Hodi humu mjengoni....!!kutoka jirani sana na alipokuwa anaishi na kufanya kazi Marehemu mpendwa wenu Che2n2....!!!!!

Karibu sana na usisahau kuchangia jf mkono mtupu haulambwi maana kutoa ni moyo si utajiri.
 
Back
Top Bottom