kutoka mwenyekiti wa bodi 2 mkurugenzi wa wakurugenzi wa sekta binafsi;mh;MUFURUKI.A | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kutoka mwenyekiti wa bodi 2 mkurugenzi wa wakurugenzi wa sekta binafsi;mh;MUFURUKI.A

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Jun 4, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Mhh kweli hii nchi inaoza kama aijaoza..yule mwenyekiti wa bodi aliieiua AIRTANZANIA bwa ALI MUFURUKI ati ndie mkurugenzi wa wakurugenzi wa sekta tanzania....huyu bwana kilichomwondoa ilikuwa ni aibu mbele ya watu nakumbuka kabla ya kuondoka pale alikuwa akila na jamaa mmoja ambae walifikia ndege imearibika kidogo badala ya kutengeneza wanakimbilia kuita ya kukodishwa toka s.africa na inatua kama sio asbh mchan..baada ya hapo inakaa hata siku 5 ....mpaka kumi ujue mpaka ten perc yao iingie ndio waniachia ndege...baya zaidi ni kile kitendo kichaambacho kilimshtua hata BWM.... WAKATI SOUTH AFRICAN airways WANAJITOA serikali ilipata mfadhili wa kuleta ndege;zilikuwepo zile ndege mbili zilizokodishwa south africa..sasa moja ilikuwa ishaenda yaani kurudishwa nyingine ikawa inamuda wa wiki moja kurudishwa gafla ikarudishwwa kabla ya muda....,baada ya hapo ukatungwa mkataba wa ununuaji ndege;ambapo katika REGISTRATION NO...zilionekana za zile zile ndege mbili zilizokuwepo...lakini kwenye mkataba inaonyesha ni ndege zinanunuliwa ireland na zilikuwa zikifanya safari za uko...huyo ndio MFURUKI...sasa najiuliza mtu wa namna hii alietaka kuchapisha mkataba wa kuleta ndege feki tulizolalamikia na kurudishwa south then wzipeleke ireland.......................,......then zirudishwwe dar...mhh huyu ndie mfururki...
   
 2. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mada hii ina taarifa muhimu sana, na za ndani sana. Lakini ni vigumu kuipa uzito unaostahili kutokana na uwasilishaji wake. Tafadhali kaa chini, tulia, soma ulichoandika, halafu wasilisha.
   
 3. M

  Mzee wa Usafi JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2009
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  nadhani mr impossible database yako haiko sawa!!! Mr Mafuruki na bwana Sangwene " yule managing director aliyeondoka" waliamua kujiuzuru baada ya zengwe lilioanzishwa na mzee wa vijisenti.
  Baada ya kuteuliwa kuwa mwenyekkiti wa bodi, alikaa na MD wakaandika proposal ya jinsi ya kufufua shirika. Mr presidaa akapelekewa mezani business plan. naye akampati mkuu wa watumishi wa serikali kutoka wanging'ombe iringa.

  naye akawapati wizara enzi hizo chini ya mzee wa vijisenti.....hapo tabu ilipoanza sasa...

  mzee wa vijisenti na mama wa zanzibara aliyekuwa anashika mkoba wa fweza, walitaka ten percent ya business plan ili fweza zitoke. Jamaa wakarudi kwa mkuu wa watumishi, naye akaita vikao vy wizara zote husika... baada yakuambiwa kwamba mkuu wa nchi anataka kuiona twiga angani mapema.. watu wakasema hakuna tatizo...

  baada ya kikao, badala ya kutoa fweza, mama na mzee wa vijisenti wakamwandikia barua ya kujieleza MD na mwenyekiti wa bodi kwanini walikwenda kulalamika kwa mkuu!!!

  Ukumbuke wakatisongombingo zinaendelea shirika liko hoi, hizo ndege za kukodi ziliwaumiza kwani hawakuwa na fedha hata senti....

  hatima yake MAFURUKI akaamua kuachia ngazi kwani hakupewa msaada na ushirikiano na wizara. MD naye akaamua kuachia ngazi kwani asingeweza kufanya kazi na watu waliotanguliza maslahi yao mbele badala ya shirika...... haraka haraka mzee wavijisenti akapeleka mapendekezo kwa mkuu wa nchi watu wakushika hizo nafasi.....
  naye akayapiga chini hayo mapendekezo akaangukia kwa wao waliopo.....Sangwene (ex MD) alikaa zaidi ya miezi mitatu akimfundisha Mr Matakataka.... kazi, sijui kama alielewa.

  Mafundi wa ATC walifurahi sana alipoondoka huyo msouth kwani alibana njia zote za wizi... waliokuwa wanafanya kazi kwa moyo shirika lifufuke...wanalia mpaka leo kwani jamaa ni kichwa kweli kweli hadanganywi na alilifikisha mahali pazuri shirika...wao ni mashahidi......

  sasa liko wapi!!!!! Mafuruki is clean man to me, especially on this matter.

  THIS COUNTRY WILL NEVER EVER DEVELOP UNDER CCM.....STICK AND CARROT SITUATION
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Namjua sana Ali tangu alipoanzia mpaka alipofikia leo ...kikazi sasa kwenye hii ya ATC sote tunajua issue siyo Ali Mufuruki bali system yenyewe ndio iliyooza

  na sidhani kama tuko serious kwenye kutaka kukata mzizi wa fitna maana tukienda mbali sana tutamgusa mpaka Mengi na najua tukifika huko mtaanza ohhh its unfair
   
 5. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  GT vipi bana...wewe lete habari, fisadi ni fisadi, JF haichagui fisadi wa kumkoma.
   
 6. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu,
  The least I can say hii habari yako over 90% siyo kweli, 10% ambayo ni kweli ni pale unapotaja Ali Mufuruki alikuwa Mwenyekiti, hapo Ulipotaja Sangwene (ninakupa benefit of doubt kwamba umekosea spelling) kwani hakuna mtu aliyekuwa MD wa ATC akiitwa kwa jina hilo bali Sangweni.
  Yaliyobaki yote ni mashaka matupu.
  Kimsingi issue za ATCL kwenye hii forum si mpya sana na umafia uliofanyika wengi walikwisha tanabahishwa siku nyingi zilizopita. Kwa msaada zaidi rejea threads kadhaa na posts lukuki.
  Lakini kama nia yako ni kumsafisha mtu basi unaweza ukaanza hapo tuone kama unataka kumsafisha kwa majitaka.
   
Loading...