Kutoka moyoni bila unafiki, Magufuli bado yupo vichwani mwa Watanzania

Zulumati NSSF Fao la Kujitoa ...
Halafu baada ya kukwapua fedha zote kwenye hiyo mifuko na kwenda kununulia mabombadia akaiunganisha hiyo mifuko ili kuficha maovu yake na kuzima fao la Kujitoa ili mtu asiweze kupata pesa yake yote....
 
Yesu aliposulubiwa baada ya kufa ndipo kina pilato wakatambua kuwa wamefanya makosa kumuua! Nyani walifurahia kifo cha bwana shamba,sasa mahindi yameisha shambani nani atalima??

Unamaana hata ndugu, jamaa na marafiki wa akina Azory Ben Lissu Mawazo na wa kwenye viroba nao unadhani ni nyani waliofurahia kifo chake?

Sympathisers wao nao je?

Nisiache kukwambia huyu bwana:

IMG_20210821_093125_815.jpg

hao kwao hana tofauti na nduli Iddi Amini.
 
Habari wana jamvi, kiukweli nimevumilia nimejikaza lakini nimehemewa acha niseme ukweli tu,
Mzee baba Magu Watz mpaka sasa wanaumia na nimeliona hili kila Mara katika Moshe zangu na safari za hapa na pale... Afu sasa cha kushangaza mpaka watoto, cha ajabu wakisikia mazungumzo yanayo muhusu wengine mpaka wanataka walie...
Mfano tu mzuri Leo nipo kwenye usafiri wa Masafa marefu naingia ndani nakuta mjadala watu wanaongea kwa machungu sana.. Basi tu ishatokea hakuna namna Mungu ashukuriwe kwa maisha yake hapa Duniani.
Ila kiukweli bila unafiki Mzee baba alikuwa mzalendo sana na anamachungu na taifa ingawa kuna wapingaji.... Wanapinga huku mioyo inawasuta.....
kwa kweli
IMG-20210318-WA0118.jpg
 
Unamaana hata ndugu, jamaa na marafiki wa akina Azory Ben Lissu Mawazo na wa kwenye viroba nao unadhani ni nyani waliofurahia kifo chake?

Sympathisers wao nao je?

Nisiache kukwambia huyu bwana:

View attachment 1901055

hao kwao hana tofauti na nduli Iddi Amini.
Azory Lissu na hizo takataka nyingine ni kina nani mbele ya mamilioni ya watanzania masikini waliokuwa wanakufa kwa kukosa huduma bora za afya? Au kwakuwa hao watanzania maskini hawana umaarufu? Hao ilipaswa wafungiwe jiwe shingoni watupwe baharini kabisa! Kwa kutaka kuwadhulumu wanyonge na masikini haki yao ya kujikwamua kiuchumi kwa kuendekeza siasa uchwara!
 
Unaoita takataka ni watanzania. Achilia mbali kuwa ni wenye ndugu, jamaa na marafiki ambao ni watanzania pia.

Pia wamo sympathizers wao na binadamu wengine wa kawaida tu wasioikubali dhuluma ya aina yoyote zikiwamo za kubambikiza watu kesi, achilia mbali kumdhulumu mtu maisha yake na hadi kwenda kumsokomeza kwenye kiroba. Hawa nao ni watanzania pia.

Usiandike ukiwa ume chaji kama nguruwe tu, zingatia usahihi wa mada:

"Kutoka moyoni bila unafiki, Magufuli bado yupo vichwani mwa Watanzania"​

IMG_20210513_200524_882.jpg

Au kwenu watanzania ni wauaji nyie peke yenu ambao ndiyo mliokuwa mnajulikana kama watu msiojulikana?

Tanzania ni mahali bora zaidi leo bila huyu:

IMG_20210821_093125_815.jpg

Ashukuriwe pakubwa bwana wa majeshi.
 
Habari wana jamvi,

Kiukweli nimevumilia nimejikaza lakini nimehemewa acha niseme ukweli tu.

Mzee baba Magu Watz mpaka sasa wanaumia na nimeliona hili kila Mara katika Moshe zangu na safari za hapa na pale. Afu sasa cha kushangaza mpaka watoto, cha ajabu wakisikia mazungumzo yanayo muhusu wengine mpaka wanataka walie.

Mfano tu mzuri Leo nipo kwenye usafiri wa Masafa marefu naingia ndani nakuta mjadala watu wanaongea kwa machungu sana.. Basi tu ishatokea hakuna namna Mungu ashukuriwe kwa maisha yake hapa Duniani.

Ila kiukweli bila unafiki Mzee baba alikuwa mzalendo sana na anamachungu na taifa ingawa kuna wapingaji. Wanapinga huku mioyo inawasuta.
Hypocrisy will kill you!
 
Unaoita takataka ni watanzania. Achilia mbali kuwa ni wenye ndugu, jamaa na marafiki ambao ni watanzania pia.

Pia wamo sympathizers wao na binadamu wengine wa kawaida tu wasioikubali dhuluma ya aina yoyote zikiwamo za kubambikiza watu kesi, achilia mbali kumdhulumu mtu maisha yake na hadi kwenda kumsokomeza kwenye kiroba. Hawa nao ni watanzania pia.

Usiandike ukiwa ume chaji kama nguruwe tu, zingatia usahihi wa mada:

"Kutoka moyoni bila unafiki, Magufuli bado yupo vichwani mwa Watanzania"​

View attachment 1901089

Au kwenu watanzania ni wauaji nyie peke yenu ambao ndiyo mliokuwa mnajulikana kama watu msiojulikana?

Tanzania ni mahali bora zaidi leo bila huyu:

View attachment 1901090

Ashukuriwe pakubwa bwana wa majeshi.
Sidhani kama walikuwa watanzania maana kama wangekuwa watanzania wangetanguliza uzalendo mbele na kusaidia kuinua uchumi wa wenzao masikini! Hao ni WASALITI! wamewasaliti watanzania katika mapambano na vita dhidi ya adui umasikini.Sijui akili mmeweka mfukoni mpaka viongozi wa vyama vyenu wanawalisha uongo na kuwaendesha vile wanavyotaka! Magufuli hakuhusika na shutuma hizo! Na hata angehusika watanzania tungempongeza zaidi kwa kujitoa kwa ajili yetu sisi masikini.hao sympathizers wangeenda vijijini kuona wamama wajawazito wanaofia njiani kwa ubovu wa miundombinu sidhani kama wangejiona ni binadamu! Nyerere alisema maadui wa taifa ni Ujinga,Maradhi na Umasikini.
 
Hatudhani kuwa nyie mliowapoteza kina Azory, Ben, mkawauwa kina Mawazo, mkahusika na waliokutwa kwenye viroba; kuwa ni watanzania.

Tulikuwa na habari kuwa ninyi na hata mwendazake mna asili za Burundi. Kuwa hata ndugu zenu wengine mliwaleta kupiga na kuwauwa watu Pemba wakati wa uchaguzi.

Inawezekana ni kweli.

IMG_20210812_203533_044.jpg

Mna roho ngumu sana zisizokuwa na chembe za kitanzania.

Picha hiyo inajieleza wazi.
 
41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom