Wewe tangu uwanze kupiga box umewapa tenda wakandarasi Bongo kukujengea nyumba ngapi?Hivi hao wakandarasi kazi yao nini hasa kama nchi imejaa nyumba za tembe?
Yeye mbona ameshindwa kuiga licha ya kwamba kila siku yupo huko nje ya ncihi?...........huu ni unafki.Mifano myema huigwa! Hivyo igeni kwa wenzenu nje ya nchi
Jamaa yangu Waberoya alikuwepo?Sekta hii ya ujenzi inanyooshewa sana kidole juu ya rushwa!!