Kutoka mimba

Mchelle

Member
Mar 20, 2010
95
28
Naomba msaada wenu wajameni, mke wangu amepata bahati mbaya mimba imetoka kwa hiyo baada ya kusafishwa hospital.
Baada ya muda gani ataweza kuanza kutafuta ujauzito?
 
Pole sana kwa hali aliyopata shemeji. Haukuuliza hospitali wakati wanamsafisha au ulikuwa unaona aibu?
 
Naomba msaada wenu wajameni, mke wangu amepata bahati mbaya mimba imetoka kwa hiyo baada ya kusafishwa hospital.
Baada ya muda gani ataweza kuanza kutafuta ujauzito?

Anaweza kupata as soon as mtapoanza kushiriki tendo
Ila ni vema kujua imetoka kwa sababu gani ili kuzuia mimba nyingine kutoka pia
 
Naomba msaada wenu wajameni, mke wangu amepata bahati mbaya mimba imetoka kwa hiyo baada ya kusafishwa hospital.
Baada ya muda gani ataweza kuanza kutafuta ujauzito?
Kwa nini usimuulize daktari aliyemsafisha? Hapa utapewa majibu 10000 utaweza?
 
Naomba msaada wenu wajameni, mke wangu amepata bahati mbaya mimba imetoka kwa hiyo baada ya kusafishwa hospital.
Baada ya muda gani ataweza kuanza kutafuta ujauzito?
Akishapona tu mkaanza kufanya na wataalamu wanasema ukifanya naye mapema iwezekanavyo ni rahisi zaidi kushika mimba maana kizazi kinakuwa wazi.
 
asante bandugu. ilitoka kwa bahati mbaya sana kwani tulikuwa tukitarajia kupata mtoto wakati tuliohitaji
 
Pole sana.Ningeona cheti chake baada ya kusafishwa, ila kwa uzoefu ni vzr mama akapumzika walau 2-4 years, ukihitaji azae mapema nitafute PM.

Pole kwenu
 
Back
Top Bottom