Kutoka meza ya jaji wa Mahakama Kuu, maamuzi kesi ya ubunge wa Tundu Lissu

jenga hoja

Member
Sep 26, 2018
30
131
Katika hatua ya mwisho ya mapitio ya hoja za pande zote mbili mahakama ilijadili mapingamuzi ya serikali Kama ifuatavyo..

1. Katika pingamizi la kwanza,Taalifa ya kuvuliwa ubunge kwa mlalamikaji Ipo ndani ya mamlaka halali na ya kikatiba ya bunge,na msingi wa shughuli za kikanuni za ndani ya bunge.
Hivyo Basi kwa misingi ya ibara ya 100(1) ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mahakama Haina mamlaka ya kusikiliza maombi haya.

2. Pingamiz la pili, Kwa mujibu wa ibara ya 100(1) Mahakama inaamua kuwa spika wa bunge ana mamlaka yote kuamua Jambo lolote la mbunge yeyote akiwa ndani ya bunge.Na hivyo mamlaka hiyo haiwez kuhojiwa mahala popote au na chombo chochote chenye mamlaka nje ya bunge.

3. Katika pingamizi la tatu, Mahakama imejilizisha na hoja za upande wa serikali na kuamua kuwa,Haki anazozidai mlalamikaji zinamgusa Spika wa bunge na mbunge binafsi moja kwa moja,Na mamlaka ya madai ya haki za mlalamikaji yako chini ya utawala wa bunge kwa mujibu wa ibara ya 100(2) ya katiba ukivisoma pamoja na kanuni ya 5(4,5) ya kanuni za kudumu za bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Hivyo Basi kwa misingi ya kisheria na kikatiba iliyojitokeza katika hoja za mapingamizi ya serikali, Mahakama imejilizisha kuwa Haina mamlaka ya kuendelea kusikiliza maombi haya na inatupilia mbali maombi ya mlalamikaji.

(fictitious decision)
titoenock12@gmail.com
 
MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI, tuishi kwa amani na upendo haki na usawa, tuvumiliane ila tusiwe wajinga sana kama ambavyo rais wetu anajua kwa dhati. MUNGU IBARIKI TANZANIA na watu wake wote
 
Watu bhana hapa wanatafuta huruma ya serikali,ila serikali ikisema ipotezee watasema serikali inamuogopa Lissu.
 
Katika hatua ya mwisho ya mapitio ya hoja za pande zote mbili mahakama ilijadili mapingamuzi ya serikali Kama ifuatavyo..

1. Katika pingamizi la kwanza,Taalifa ya kuvuliwa ubunge kwa mlalamikaji Ipo ndani ya mamlaka halali na ya kikatiba ya bunge,na msingi wa shughuli za kikanuni za ndani ya bunge.
Hivyo Basi kwa misingi ya ibara ya 100(1) ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mahakama Haina mamlaka ya kusikiliza maombi haya.

2. Pingamiz la pili, Kwa mujibu wa ibara ya 100(1) Mahakama inaamua kuwa spika wa bunge ana mamlaka yote kuamua Jambo lolote la mbunge yeyote akiwa ndani ya bunge.Na hivyo mamlaka hiyo haiwez kuhojiwa mahala popote au na chombo chochote chenye mamlaka nje ya bunge.

3. Katika pingamizi la tatu, Mahakama imejilizisha na hoja za upande wa serikali na kuamua kuwa,Haki anazozidai mlalamikaji zinamgusa Spika wa bunge na mbunge binafsi moja kwa moja,Na mamlaka ya madai ya haki za mlalamikaji yako chini ya utawala wa bunge kwa mujibu wa ibara ya 100(2) ya katiba ukivisoma pamoja na kanuni ya 5(4,5) ya kanuni za kudumu za bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Hivyo Basi kwa misingi ya kisheria na kikatiba iliyojitokeza katika hoja za mapingamizi ya serikali, Mahakama imejilizisha kuwa Haina mamlaka ya kuendelea kusikiliza maombi haya na inatupilia mbali maombi ya mlalamikaji.

(fictitious decision)
titoenock12@gmail.com
Taalifa!!!!, Imejilizisha!!!!! Ni jaji anaandika uvundo kama huu? Sidhani!
 
Imejilizisha = imejiridhisha
 
Back
Top Bottom