Kutoka maktaba zetu ni miaka ya 1989-1990 Ndumilakuwili na Sokomoko

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,268
1569556398398.jpeg
 
Sokomoko ndio alikua yule jamaa mleviii ama?
Kuna siku mkewe kamfuata kilabuni, anamwambia kuna wizi umetokea nyumbani.
Akauliza, inamaana wamechukua na ile chupa ya wanzuki karibia na tendegu, akaambiwa hiyo ipo, akasema aah! Kumbe wizi wenyewe sio mkubwa sana.
Akarudi kuendelea kupiga kinywaji
 
😂😂😂😂
 
Sokomomo alikuwa mwehu sana, tungi tu muda wote.
 
Back
Top Bottom