Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

Status
Not open for further replies.
Hivi Yerricko kuna zaidi ya hili au ni chuki binafsi tu? Maana unamchukia ZZK Kama nini vile!

Haya maisha yanapita siasa ni kitu kidogo sana kwenye maisha Leo mbunge kesho Raia wa kawaida! Duu umezidi kuwa mpashkuna

Alidai amemtishia kumuua na akaripotiPolisi na kupata RB, kisha akafungua uzi JF !
Sasa alikuwepo Mahakamani lakini hakumkamata Mtuhumiwa wake, pamoja na kukiri kuwa likuwa na ulinzi 'dhaifu' !
:A S 13:......jamaa ni noooouma kwa kujikombo na uzushi !
 
Chuki na fitna iwapi hapo sheikh???Kusoma hauwezi,picha pia??U-dhahabu wake u-wapi?Yote haya yana sababu,yanafanyika kwa maslah ya waajiri wake sio chadema.," ANGEKUA YEYE MZALENDO KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU TAIFA LIPITALO NA MPITO HUU WA UTAFUTAJI WA KATIBA MPYA ANGEFANYA HAYA YA KIHUNI KUSUDI KUGAWA NGUVU YA PAMOJA?Halahala 'leo ana imani na CC kesho atalishwa udini na ccmonia waliojawa na uchu wa madaraka'.Ushindi wake ni kumalizia ubunge wake labda.

Nguvu ya pamoja kwa kuunda makundi ndani ya chama ili kuhakikisha unadumu madarakani,inawezekana kwa zitto hili unalosema ukaliona kwa umakini ila kwa mbowe na slaa ukawa kipofu,lakini ipo siku utabaini kuwa wale wote walio tofauti na wewe kimawazo,kimtazamo na kimkakati sio adui zako
 
Mkuu mi naongea hayo ninauhakika nayo kwani maranyingi sana huwa naenda Kigoma, na watu wengi hawamwamini huyu kijana ingawa kuna watu hapa watakuja kunipinga kwasababu ya mahaba yao kwa ZZK, amewaangusha sana watu wa Kigoma.

Acha maneno yako ya kanga... lione halina hata haya.
 
Mkuu ukicheka na Nyani utavuna mabua... hata mimi ninahasira na ZZK si kwa utu wake bali kwa usaliti wake na kuwa upande wa Mafisadi...ZZK amepunguza hamasa ya mabadiliko kwa kuihujumu CDM! ... Tanzania yetu yenye utajiri wa asili inaliwa na MAFISADI wenye kumtumia Zitto... Fundamental difference btw Zitto na sisi ni usaliti wake kwa watanzania ...Sisi tunataka rasilimali zetu zitunufaishe, wakati yeye anataka Raslimali zetu ziendelee kumilikiwa na MAFISADI wachache....

Si mlibisha mwanzoni kuwa Zitto si chochote si lolote na hawezi kuleta athari yeyote ndani ya chadema. Mmemkubali waziwazi, mmeshuhudia.
 
Zitto kama anaweweseka vile! Angeenda tu kujieleza kwa kamati kuu ya chama chake. Asipotendewa haki ndio angechukua hatua zinazofuata. Ni vigumu sana kwa mahakama kutoa uamuzi juu ya hofu tu badala ya ushahidi kwamba KK haikumtendea haki.

Hofu haiwezi kuwa kigezo tosha. Na sidhani ni haki kwa mahakama kuzuia vikao vya taasisi yoyote au kuingilia agenda fulani isijadiliwe na kikao halali. Sana Sana Zitto angekuwa na kesi ya mshiko zaidi angezungumzia kutotendewa haki na KK pale alipovuliwa vyeo. Lakini hofu kwamba atavuliwa uanachama haina mashiko. Ile anaweza kuifanya baada ya kuvuliwa kweli.

Kuna wabunge wawili walivuliwa uanachama wakaenda mahakamani kuomba uamuzi usimamishwe na mahakama na haki zao zikalindwa. Inawezekana Mh Zitto anajaribu ku-pre-empty hiyo hali isitokee halafu aendelee kuleta mtafaruku ndani ya chama.

Kwa akili yako ndogo unafikiri ni kamati kuu ipi ya cdm imsikilize zitto wkt wameshakiuka katiba ya chama kwa lengo la kumvua uanachama? Akili za kuambiwa ongeza na za kwako...
 
Mkuu nadhani Zitto alitakiwa kutumia busara zaidi mbona kina Mkumbo na mwigamba hatuwasikii? Au Zitto yeye ndo mkubwa sana? Hata ndani ya nyumba mmoja ni busara sana kujishusha na kuweza kukaa na kuzungumza na kurekebishana sasa Kama unakimbilia mahakamani ndo tuonane huko huko unakotaka

kuna tofauti sana kati ya Zitto na akina mkumbo katika nafasi za kisiasa ndani ya chama na katika taifa letu,Zitto alipooona haki yake inataka kupora na genge la mafisi wa kisiasa ilikuwa ni haki yake ya msingi kuidai kwenye mahakama,rejea sheria mama(katiba ya nchi)
 
Usiwe mshabiki kiivyo,sawa Zto atashinda mahakamani ataenda kuongoza chama kipi? emu acha kujitoa ufahamu kaa utulie ndipo ulete hoja yako.Mbowe anachuki gani na msaliti?
wewe unao ushaidi usiotiliwa shaka na usaliti wa zitto,acheni maneno ya kwenye magazeti na vijiweni, hakuna ushaidi wowote zaidi ya propaganda ili zitto achafuke apotee kwenye siasa.hizi ni siasa zilitumiwa enzi za wakomunisti,kwa dunia ya leo aiwezekani tena
 
Kama unaona ni dhahabu chukuwa uitumie,kwa nini unalazimisha chadema waitumie,itakuwa ni vyema na haki kama hiyo dhahabu ikatumika ccm maana ndiyo mahali pake alipokuwa anapatumikia kwa kificho.
kwa maana hiyo kweli wapinzani ipo siku watashinda kiti cha urais?kama kila uchwao tunapokaribia uchaguzi mkuu ni mifarakano na kutungiana majina ya kila aina
 
Nguvu ya pamoja kwa kuunda makundi ndani ya chama ili kuhakikisha unadumu madarakani,inawezekana kwa zitto hili unalosema ukaliona kwa umakini ila kwa mbowe na slaa ukawa kipofu,lakini ipo siku utabaini kuwa wale wote walio tofauti na wewe kimawazo,kimtazamo na kimkakati sio adui zako

Mkuu acha kupaka upepo rangi! Zitto ni adui namba moja wa harakati za mabadiliko Tanzania...U-selfish wake umezidi kiasi cha kumtia upofu, Hakuna justification yoyote ile ya kushirikiana na Nchemba et al kuandaa movie yenye lengo la kuipakazia CDM ugaidi ili baadae wakifute! Nyaraka ziko za kutosha, ushahidi wa wazi upo kuwa Zitto unaemtetea ni mla rushwa Mkubwa... Uwakala wa Airtel kanda ya magharibi ameipataje? Walikwenda Southern Sudan na Mr President Kufanya nini? Mbinu yake ya kutaka kufanya mageuzi ndani ya NCCR ili baadae aende kuwa M/kiti ilikuwa ina malengo gani? Buzwagi saga iliishaje? Utajiri wake unatokana na shughuli za kisiasa pekee?... nani mwingine mzalendo alieweza kutajirika thru siasa?...Fanya uchunguzi kidogo then hutakaa umshobokee huyu adui wa mabadiliko Tanzania. Sisi tunaamini kuwa Tanzania yetu iliyojaa neema ni Tajiri ila utajiri wetu utatunufaisha baada ya CCM kung'olewa madarakani... yeyote mwenye kudhoofisha mkakati wa kuing'oa CCM na MAFISADI kwetu ni msaliti na hatutaficha kumuonyesha kuwa tunamchukia kwa dhaati....
 
Si mlibisha mwanzoni kuwa Zitto si chochote si lolote na hawezi kuleta athari yeyote ndani ya chadema. Mmemkubali waziwazi, mmeshuhudia.
Hata Rwanda si lolote si chochote kwa Tanzania lakini kuna mataifa yanayoitia kiburi...same kwa Zitto ambaye technically amejimaliza kisiasa, anafurukuta kwakuwa kuna fedha nyingi za CCM plus MNCs zenye kufaidi rasilimali zetu! Wanajua fika kuwa ile mikataba ya kishenzi ya kumiliki maliasili zetu 100% tena kwa miaka 99 itafutiliwa mbali!... Zitto alichokifanya ni kujaribu kudhoofisha CDM huku akijua kuwa huu ndo mwisho wake kisiasa ndani ya CDM lakini atakuwa na $$ kule Uswis...
 
Hata Rwanda si lolote si chochote kwa Tanzania lakini kuna mataifa yanayoitia kiburi...same kwa Zitto ambaye technically amejimaliza kisiasa, anafurukuta kwakuwa kuna fedha nyingi za CCM plus MNCs zenye kufaidi rasilimali zetu! Wanajua fika kuwa ile mikataba ya kishenzi ya kumiliki maliasili zetu 100% tena kwa miaka 99 itafutiliwa mbali!... Zitto alichokifanya ni kujaribu kudhoofisha CDM huku akijua kuwa huu ndo mwisho wake kisiasa ndani ya CDM lakini atakuwa na $$ kule Uswis...

CDM ni dhoofu anyway. Zitto anawafundisha demokrasia, mumfukuze mumbakize somo mmelisoma. Kama unabisha muulize Lissu.
 
Jama kasha kolea na gongo njoo jioni upate malipo yako kwa mzinzi na mlevi Mbowe.
 
Nguvu ya pamoja kwa kuunda makundi ndani ya chama ili kuhakikisha unadumu madarakani,inawezekana kwa zitto hili unalosema ukaliona kwa umakini ila kwa mbowe na slaa ukawa kipofu,lakini ipo siku utabaini kuwa wale wote walio tofauti na wewe kimawazo,kimtazamo na kimkakati sio adui zako

Tatizo lako ninafikiri ulimwamini sana zzk haukuwa makini katika kufuatilia siasa zake,yy ndie muanzisha makundi ndani ya chama kwa lengo la kuubomoa utawala halali ulio madarakani na kwa maana hiyo yy ndie msaliti namba moja wa mageuzi nchini.ref:e-mail za Nchemba,Nchimbi na Lukuvi haya ni ya majuzi tu hata kama una akili ya kusahau.
 
Hizo kesi alizosimamia na kushinda zote aliongea kiswahili au bi Mkubwa wako alienda kumsaidia kuongea kiingereza?

Lissu anaongea kiingereza akishakunywa viroba lakini sina uhakika na ufasaha wa maneno anayoyatamka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom