Miaka ya karibuni baadhi ya waimbaji maarufu wa nyimbo za injili wamekuwa wakitumia mgongo wa uimbaji nyimbo za dini lakini ukisikiliza kwa makini waimbaji hao wamekuwa wakirusha vijembe kwa wengine kiasi kwamba maana ya halisi ya usanii wao inapotoka na kunakuwa hakupo zaidi ya kufanya mipasho. Jirekebisheni katika utunzi wenu ili Mungu atukuzwe.
1. Bukuku
2. Mhando
3.Mgendi
4.
5.
6.
.
.
.
1. Bukuku
2. Mhando
3.Mgendi
4.
5.
6.
.
.
.