Kutoka kucheza Ligi ya NBA mpaka kuja kucheza ligi ya mkoa wa Dar (RBA) Kuna La Kujifunza Kwenye Maisha Ya Hashim Thabit

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Nakumbuka miaka ya 2008-2009 Hashim Thabit Akiwa bado ana umri mdogo, alionekana kitaifa baada ya kufikisha wastani wa alama 13.6 na alama 10.8 ya mipira ya kurudisha.

Alianza kujikita zaidi kwenye mchezo huo triple-double akilipocheza dhidi ya Providence College tarehe 31 Januari Mwaka 2009 akipata alama 15 na 11 mipira ya kurudisha na kuzuia mara 10 Alizuia mara 152 msimu mzima.

Hashim Alitajwa kuwa mchezaji bora wa kuzuia ya wakubwa Big East Player of the Year with Pitts DeJuan Blair.

Hashim alitajwa kuwa mchezaji wa timu ya pili kitaifa ya mchezaji bora wa kuzuia kitaifa. Hashim alipita alama 1000 dhidi ya Purdue alikuwa mcheza wa tatu wa UConn kufikia rekodi kwenye msimu huo Jerome Dyson na A. J. Price ndio wachezaji wengine walioweza kufikia hiyo rekodi.

Hashim aliisaidia timu yake ya UConn kwa mara ya kwanza kufika kwenye finali za t Final Four mwaka 2004 Akiwa mwaka wake wa mwisho chuo.

Nakumbuka Hashim alichaguliwa na chama kinachosimamia ligi ya mpira wa kikapu kitaifa cha NBA kama mmoja ya wa chezaji wanaoruhusiwa kuchezea ligi hiyo

Hasheem alichezea timu ya chuo cha UConn kabla ya kuchaguliwa kama chaguo la pili mwaka 2009 katika timu ya Memphis Grizzlies. Kuna la Kujifunza Sana Kwenye Maisha ya Basketball ya HT.

Hasheem amecheza NBA katika timu kama za Memphis Grizzlies, Houston Rockets, Portland Trail Blazers, Oklahoma City Thunder na Grand Rapids Drive kabla ya 2017 kujiunga na Yokohama B-Corsairs ya nchini Japan.

Lakini Leo Hii aliotoka nao UConn bado Wako NBA.

By the way kupanga ni kuchagua wakuu.

Screenshot_20210929-045015.jpg
 
Aya nijibu haya maswali

anacheza ligibya Bongo kwa sababu Kiwango kimeshuka??

anacheza bongo kwa sababu amefulia mpaka uchumi ivo anaamua kucheza kupata shilingi?

Kaja kucheza ili kusaidia Ligi ya bongo kukua kukua kwa mapenzi yake?

Karudi nyumban, akiwa na mipango yake, baada ya kuona keshavuna mapesa mengi, lkn kwakua umri wake na mwili wake aliuzoesha mazoezi, kaona ajichanganye na wana?

Je Samata siku akirudi bongo, akatua Simba atakua kafulia kimpira au kichumu au vyote kwa pamoja?

Je Kiwango cha samata kikiwa hakimruhusu tena kucheza kimataifa, atatakiwa kubaki amekaaa tu home kuendesha shuguli zake?

Je samata na pesa zake, akiona aje tu bongo na kwasababu ni mtu wa mpira, akiona ajitolee kukipiga BIASHARA U bila malipo ni shida?

KILA KITU KINA MUDA NA WAKATI WAKE JOOO.
 
bado samata kurudi. kuchezea mbangara.

hawa watu wanalewa sifa na media ambazo mwisho wa siku utozisikia kuwa taja tena.

kuna kipindi ukiamka asubuhi tu media zote sijui mtanzania leo kapata goli,akirudi tz basi walembo wote,sifa kibao kumbe umri unakwenda na kiwango kina shuka.

mimi namuonea huruma samata tu maana hata yule chawa mirad ayo simsikii tena kamtaja kama zamani
 
bado samata kurudi. kuchezea mbangara.

hawa watu wanalewa sifa na media ambazo mwisho wa siku utozisikia kuwa taja tena...
Kwann mnakua na TABIA ZENYE UNOKO.

Kwan ni dhambi Umri kwenda?

Ni dhambi kiwango kushuka?

Ronado katoka Poto. Kaingia man U. Kaenda Madr. Kaenda Juv. Karudi Man U ???...UNAMFIKIA PESA AU MAISHA?

wako wapi akina , Drogba, Okocha, Na wachezaji maarufu wakubwa unaowajua, ambao wamezeeka na umri ?

Wewe unataka ucheze bila kuzeeka? Umri lazima uende, na unavyoenda kiwango lazima kishuke.

Haina maana kua Samata alichofanya wakat wake akiwa Na 28 ,sasa kwakua kaenda kiumri na kiwango kinashuka, basi ndo HATUTAJUA MCHANGO WAKE.

SAMATA KAITANGAZA TANZANIA KUPITIA UWEZO WAKE.

mtanzania wakwanza kucheza EPL

Mtanzania wa kwanza Kuifunga Livapu

Mtanzania wakwanza kucheza na wakina Rooney, ma staa wote unaowajua

Sasa kwakua umri kusogea ni sheria, na umri ukisogea, kiwango kinashuka

kwann leo mmeseme?

WABONGO NI MIJINAFIKI NA MIPUMBAVU

WABONGO NI MASIKINI NA FUKARA KUANZIA MAISHA MPAKA AKILI KICHWAN.
 
MIJITU INAANZISHA UZI KUJADILI WATU

Mbona anacheza Ligi bongo katoka NBA.

Mamaee, ulitaka akifika bongo aanze kutumbua maishaa. Awe na maisha ya ANASA ,achangamane na Chawa....ndo mseme Jamaa katoboa???

Huyo ni mchezaji, mwili wake keshauzoea mazoezi

Angecheza nn ??? Akacheze mpira wa miguuu ili hali yeye nimchezaji wa basketiboli?

Kwahiyo Samata akiamua kutundika daluga la kimataifa, akirudi bongo, akae kwake?

SASA MNIAMBIE.... KATI YENU NYINYI... NA HASHIMU NA SAMATA... NANI ANAMAISHA MAKUBWA KUZIDI MWINGINE?

Kamtu kamekaaa kitandani kwa Baba yake. Hakajapiga hata mswaki, chai kanipikiwa kwao, kameamka kameshika simu, kameingia mtandaoni

Kanafungua Uzi..Hashimu kafuliaaa..... Kafulia ya nyoko?

Samata namuonea hurumaa.... Huruma ya nyoko?

KWEMDENI HUKO, MIJINAFIKI NYINYI
 
Shida ni moja tu, Watanzania huwa tunaridhika mapema sana na tunajisahau

Samatta leo hii ana kampuni ya uwakala kwa wachezaji wadogo wa kitanzania kuwatafutia timu nzuri huko ughaibuni, hii itamlipa sana hata retirement katika soka lake ikitokea

Hashimu Thabit bila kupepesa macho kwa umri wake bado alikuwa na nafasi ya kuendelea kukichafua pale NBA Marekani ila kutokana na sababu anazojua yeye ameshindwa kucheza tena huko na hata kwingineko huko ughaibuni

But leo hii angeweza kutumia pesa alizokuwa anazopata huko nje katika kujenga academy yake ya BBall nzuri na ya kisasa, nina uhakika angeweza kugenerate pesa nyingi kupitia mpango huo
 
Nakumbuka miaka ya 2008-2009 Hashim Thabit Akiwa bado ana umri mdogo, alionekana kitaifa baada ya kufikisha wastani wa alama 13.6 na alama 10.8 ya mipira ya kurudisha.

Alianza kujikita zaidi kwenye mchezo huo triple-double akilipocheza dhidi ya Providence College tarehe 31 Januari Mwaka 2009 akipata alama 15 na 11 mipira ya kurudisha na kuzuia mara 10 Alizuia mara 152 msimu mzima.

Hashim Alitajwa kuwa mchezaji bora wa kuzuia ya wakubwa Big East Player of the Year with Pitts DeJuan Blair.

Hashim alitajwa kuwa mchezaji wa timu ya pili kitaifa ya mchezaji bora wa kuzuia kitaifa. Hashim alipita alama 1000 dhidi ya Purdue alikuwa mcheza wa tatu wa UConn kufikia rekodi kwenye msimu huo Jerome Dyson na A. J. Price ndio wachezaji wengine walioweza kufikia hiyo rekodi.

Hashim aliisaidia timu yake ya UConn kwa mara ya kwanza kufika kwenye finali za t Final Four mwaka 2004 Akiwa mwaka wake wa mwisho chuo.

Nakumbuka Hashim alichaguliwa na chama kinachosimamia ligi ya mpira wa kikapu kitaifa cha NBA kama mmoja ya wa chezaji wanaoruhusiwa kuchezea ligi hiyo

Hasheem alichezea timu ya chuo cha UConn kabla ya kuchaguliwa kama chaguo la pili mwaka 2009 katika timu ya Memphis Grizzlies. Kuna la Kujifunza Sana Kwenye Maisha ya Basketball ya HT.

Hasheem amecheza NBA katika timu kama za Memphis Grizzlies, Houston Rockets, Portland Trail Blazers, Oklahoma City Thunder na Grand Rapids Drive kabla ya 2017 kujiunga na Yokohama B-Corsairs ya nchini Japan.

Lakini Leo Hii aliotoka nao UConn bado Wako NBA.

By the way kupanga ni kuchagua wakuu.

View attachment 1956744
Dogo alikuja na moto sana akihisi kuwa angekuwa tishio Afrika, kumbe si kitu. Alijiingiza na tamaa za kijinga kama za Vunjabei, kutaka kulala na kila kinuka mkojo hapa mjini ili ajisifie. Oneni mwenzao Diamond sasa, kachoka hana hata issue tena anatamani kuwa shoga tu ili na yeye apewe ukimbizi Ulaya akalelewe na wazungu kama kina Lissu na Lema.
 
Inaonekana una uchungu sana. Pole sana ndugu yangu
 
Tofauti Ndogo SAna, Then HT alivyokuwa NBA Si Mara Nyingi alikuwa anacheza PG iweje awe na 15 rebounds Tu?

Hata hivyo Kuwa PG unatakiwa uwe na uwezo wa Ku dribble, kuanzisha mashmbulizi na vision ya kuona watu wote wenye nafasi na kutoa pasi makini km Magic Johnson, John Stockon, Rajon Rondo, CP3, Curry, Kyrie

Screenshot_20210930-074635.jpg
 
Nakumbuka miaka ya 2008-2009 Hashim Thabit Akiwa bado ana umri mdogo, alionekana kitaifa baada ya kufikisha wastani wa alama 13.6 na alama 10.8 ya mipira ya kurudisha.

Alianza kujikita zaidi kwenye mchezo huo triple-double akilipocheza dhidi ya Providence College tarehe 31 Januari Mwaka 2009 akipata alama 15 na 11 mipira ya kurudisha na kuzuia mara 10 Alizuia mara 152 msimu mzima.

Hashim Alitajwa kuwa mchezaji bora wa kuzuia ya wakubwa Big East Player of the Year with Pitts DeJuan Blair.

Hashim alitajwa kuwa mchezaji wa timu ya pili kitaifa ya mchezaji bora wa kuzuia kitaifa. Hashim alipita alama 1000 dhidi ya Purdue alikuwa mcheza wa tatu wa UConn kufikia rekodi kwenye msimu huo Jerome Dyson na A. J. Price ndio wachezaji wengine walioweza kufikia hiyo rekodi.

Hashim aliisaidia timu yake ya UConn kwa mara ya kwanza kufika kwenye finali za t Final Four mwaka 2004 Akiwa mwaka wake wa mwisho chuo.

Nakumbuka Hashim alichaguliwa na chama kinachosimamia ligi ya mpira wa kikapu kitaifa cha NBA kama mmoja ya wa chezaji wanaoruhusiwa kuchezea ligi hiyo

Hasheem alichezea timu ya chuo cha UConn kabla ya kuchaguliwa kama chaguo la pili mwaka 2009 katika timu ya Memphis Grizzlies. Kuna la Kujifunza Sana Kwenye Maisha ya Basketball ya HT.

Hasheem amecheza NBA katika timu kama za Memphis Grizzlies, Houston Rockets, Portland Trail Blazers, Oklahoma City Thunder na Grand Rapids Drive kabla ya 2017 kujiunga na Yokohama B-Corsairs ya nchini Japan.

Lakini Leo Hii aliotoka nao UConn bado Wako NBA.

By the way kupanga ni kuchagua wakuu.

View attachment 1956744
A Case Study for aspiring basketballers.
 
Mleta mada ninaamini umeleta huu uzi kwa nia safi ili tujadili kitu na sio kumjadili mtu.

Mimi ningesema targets na objectives zetu Watanzania ni za chini au tofauti na za wenzetu wengine. Ikiwa HT alihisi katimiza au kapitiliza malengo yake basi hakuwa na haja ya yeye kujiumiza. For you its entertainment for him its a job. Huwezi kumlaumu mtu kwa early retirement ikiwa kaamua kufanya hivyo na hasa akiwa ka exceed expectations zake. To each his own.

Kobe Bryant over exceeded every one's expectations but he did not live long enough even to sèe his kids growing up. Damn shame!

Alikuwa anajoona au hajioni that the life he chose. Who are we to judge him when we do not even know him.
 
Asilimia 90% ya comments hapa inaonesha hamjui kwann Hasheem anashiriki ligi ya Basketball ya bongo

Hasheem yupo likizo, kaombwa na wadau achague timu ya kuichezea kipindi hiki akiwa likizo nchini ili asaidie kuipromoti league yetu ya Basketball
 
Likizo akichezea Team Gani na Nchi Gani?
 
Back
Top Bottom