kutoka kimapenzi na member wa JF

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Nafikiria kufanya hivyo
Waliowahi hebu nipeni uzuri wake na ubaya wake
 
Ubaya wake mkigombana tu anakuja kuweka uzi chit chat!



Uzuri wake atakuwa mtaalam wa malavidavi manake atakuwa anaenda kucopy jukwaa la kikubwa then anakuja kupestia kwako!

Wee unafikiri haya ya chit chat yanaishia humu humu.? Watu wanachakachuana mwanzo mwisho himu
 
Ubaya wa kutaka kutembea demu wa mtandao ni huu,

Kwanza unaweza usilidhike na kiwango chake maana hamuonani,

Pili kibuti nje nje na ukipigwa kibuti jua song kama mzee yusuph anavyofanya itakuhusu.
 
Back
Top Bottom