jilipue....
Ubaya wake mkigombana tu anakuja kuweka uzi chit chat!Nafikiria kufanya hivyo
Waliowahi hebu nipeni uzuri wake na ubaya wake
Ila si hatumo....
Kivipi?
Ubaya wake mkigombana tu anakuja kuweka uzi chit chat!
Uzuri wake atakuwa mtaalam wa malavidavi manake atakuwa anaenda kucopy jukwaa la kikubwa then anakuja kupestia kwako!
Alimaanisha jaribu kutoka na huyo mdada wa jf !Sijaelewa kujilipua alikuwa ana maana gani si unajua mie mzee lugha za vijana siziwe
Hata mm nahis itakuwa poa saaaana,Vp tunaweza kujaribu?...Sijawah ila nahis inakuwa poa saaana... Full ku-actiana.