Kutoka Kijiweni Unguja: Shosti wetu ni mtoto wa mstaafu kumbe

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
9,116
2,000
Si nilidhani a kwa waislam ni wa takatifu hawazai nje
Utakatifu ni UISLAMU na sio Muislamu.

Kama ambavyo mtu anaweza kusema utakatifu ni kwa ukristo na sio mkristo.

Maana yake dini ndio takatifu na sio yupe anayefuata dini,dini imesalimika lakini mfuasi wa dini anaweza kuwa na makosa mengi akateleza kama binadamu.

Kudhani kwamba muislamu ni mtakatifu ni ujinga wa hali ya juu sana wakati huyu muislamu ni mtu na anaweza kukosea kama binadamu.
 

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
7,824
2,000
Utakatifu ni UISLAMU na sio Muislamu.

Kama ambavyo mtu anaweza kusema utakatifu ni kwa ukristo na sio mkristo.

Maana yake dini ndio takatifu na sio yupe anayefuata dini,dini imesalimika lakini mfuasi wa dini anaweza kuwa na makosa mengi akateleza kama binadamu.

Kudhani kwamba muislamu ni mtakatifu ni ujinga wa hali ya juu sana wakati huyu muislamu ni mtu na anaweza kukosea kama binadamu.
Hahaha siku hizi mnahalalisha kula kiti moto ilmaradi usile tu hadharani. Ukila kwa kujificha ni halal ukila hadharani ni haramu
 
  • Haha
Reactions: BAK

Abu_yazid

JF-Expert Member
Mar 28, 2014
3,195
2,000
Nimetafuta neno la kuandika hii habari nimekosa nimewaza nitumie code gani maana maneno yote yatamgusa muhusika na majina yote najaribu kutumia naona yanamdirect muhusika nikaona wacha nitumie neno "shost" Aisee ya Unguja ni mengi kukaa na watu vizuri utajua mengi

Wakuu jambo lenyewe ni hivi kumbe Shost wetu Bi nanihi ni mtoto wa mstaafu (ii) katika ofisi yetu aisee

Ndo najuzwa kuwa shost yule ni mtoto wa mstaafu mmoja hivi (ii) na ni mtoto wake wa ujanani enzi hizo miaka ya 60's

Hii ni siri nzito sana wengi hawaijui lakini hili jambo huku watu fulan na watu wa system hii siri ndo wanaijua Sasa huyu ni mama tofaut na hao wengine

Sasa ndo mjuwe ofisi zetu mbili hapa barani zinamenejiwa na maboss wawili ambao ni watoto wa mtu mmoja tofaut ni mama tu lakini baba ni mmoja

Sasa shost nae mkwe wake kampa nafasi hapa ofisini, na bintiye naye ana kazi kule ofisi nyengine ya mdogo wake upande wa pili wa mto

Mimi sikuzote nakaaga ofsini kila siku sikuwahi kujuwa kwamba hizi ofisi zinaongozwa na watoto wa mtu mmoja....

Mstaafu yule ii enzi hizo ofsini bwana we ndo zamani tulikua haturuhusiwi hata kunywa chai yako ofisini au kupika msosi kazini lakini yule mstaafu ii alipoingia tu mambo yakachange mungu ampe umri kila kitu kikawa permission kudadeki chai ofisini permission, msosi kazini kupika permission, kuja na vitafunwa uuze kwa wafanyakazi wenzio wa ofisi permission basi kila kitu kilikuaga permission enzi hizo ofsini.

Hivyo ndo nilivyojuzwa wakuu usishangae hata birthday au anniversary watu wanapewa hadi magari baba ni baba aisee

My take: Nimetumia code, nimeandika kwa code, ni ningeomba msitaje jina la mtu yoyote ukielewa elezea kicode code maisha yaendelee
Pia hiyo picha haihusiani na habari
View attachment 1979651
Hakuna ulichofanikiwa kuficha... upo open sana
 

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,161
2,000
Mbona hamna code sasa mambo hadharani kweupeeee. Ruksa tuksa tu yani hata uje na vitumbua class ruksa
 

Black belts

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
2,236
2,000
Ndiyo Umeweka Code Gani? Tumia Radio Call Za PGO Ndiyo Utajua Hizo Code Unapomuita Kiongozi Mkubwa Code Huwa Vp


Hello ...

Hello ...
Over...Kifaru Yupo Karibu.....Over....Tembo...Anapita Salama Kwa Nguvu Ya Tano
Mambo ya Codeee
 

chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,067
2,000
Utakatifu ni UISLAMU na sio Muislamu.

Kama ambavyo mtu anaweza kusema utakatifu ni kwa ukristo na sio mkristo.

Maana yake dini ndio takatifu na sio yupe anayefuata dini,dini imesalimika lakini mfuasi wa dini anaweza kuwa na makosa mengi akateleza kama binadamu.

Kudhani kwamba muislamu ni mtakatifu ni ujinga wa hali ya juu sana wakati huyu muislamu ni mtu na anaweza kukosea kama binadamu.
umekuwa very honest na umesema ukweli mtupu. haiwezekani hata siku moja, maisha yote hadi dunia itakapoisha, mtu wa dini hiyo uliyotaja akawa mtakatifu, kwasababu hajampokea aliyemwaga damu yenye uwezo kusafisha dhambi, Yesu Kristo ambaye bila yeye hauwezi kuwa mtakatifu. kwa wakristo tunakuwa watakatifu kwa cover ya Kristo, Mungu akituangalia sisi tuliookoka anatuona watakatifu kwa sisi kujifunika ngao ya Kristo, bila Kristo Yesu hauna nguo ya kujifunika/hauna ngao, Mungu atakuona moja kwa moja na uchafu wako. Mpokeneeni Yesu Kristo, Okokeni, achaneni na miungu isiyookoa na imani ambazo hata kwa akili ya kawaida kabisa ya kibinadamu zinapingana na ukweli, kwa ukombozi wa roho mwili na nafsi. Mungu awasaidie.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom