kutoka katika kitabu cha "My Life, My Purpose" by Mkapa: Vyeo vya kitaaluma kugeuzwa vyeo vya kisiasa

Siku hizi kupata kazi serikalini kumekuwa na mambo yanayoenda kinyume na utaratibu wanaangalia umaarufu wa mtu na kujuana tuu wacha wagawane keki ya taifa mpaka vipande wasivyo stahili kujibiwa ikifika wakati wa kujibu kila mmoja atajibu kwa uwezo wake
 
Back
Top Bottom