kutoka Kasulu

Status
Not open for further replies.

Mwamapalala

Member
Dec 20, 2013
39
0
KUTOKA KASULU - KIGOMA.

Katika hali ya kushangaza jumapili ya juzi tarehe 29 Disemba, 2013
aliyekuwa naibu katibu mkuu wa CHADEMA aliyevuliwa nyadhifa zake kwenye chama Bw Zitto kabwe tulikuwa naye kwenye ibada hapa kanisa la Anglikana Kasulu akiwa amekuja kuombewa kwa kile alichodai kwamba anapita katika wakati mgumu kisiasa na mikwamo mingi kupigania maslahi ya wanakigoma.

Maombi hayo maalumu yaliendeshwa na askofu Gerald Mpango ambaye alishawi kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM na kushindwa kwenye kura za maoni. Askofu Mpango alimkaribisha Zitto madhabahuni ili atoe ya moyoni kabla ya maombi maalum. Aliposimama madhabahuni Bw Zitto alisema "Nahitaji sana maombi yenu katika wakati huu mgumu kisiasa kwangu pamoja na maslahi yenu watu wa Kigoma..."

Source: mimi mwenyewe
 
Ben Saanane

Verified Member
Jan 18, 2007
14,594
2,000

Duh kazi ipo kama siku hizi falsafa ya "Nimeaga kwetu" imekoma.
 
ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,151
2,000
Mbona Zitto Muislam? je! anataka kubadili dini?

My take Zitto katiks wito wa tarehe 3 Jan. atapewa karipio kali na kupewa mda (probation period) ya kujiangalia mienendo zake then Aluta continua, peoplesssssssssss
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom