Is that demanding too much? for you.
Kwa hiyo wewe unataka vigezo viwe
75% christian
25% others (all)
hapo hakun udini ha!
Hata Bungeni wakristu walidai ni zaidi ya 75%.............................................
Kama hii ni kweli basi kazi tunayo...... lakini am sure hawa wapuuzi wachache sio representation ya ndugu zetu waislamu, na watu kama hawa ni wa kuogopa kama ukoma.
Nyie ni watu w ajabu na kuhurumia sana juzi juzi humu JF mmeanza kutamba kuwa nafasi zote za juu zimeshikiliwa na waislam tena mkatuambia zile nyeti sasa leo yamekuwa hayo tena. Kuna mmoja wnu akazitajaReally? you are joking kwahiyo walipojazana serikalini na nafasi nyeti ni kwakuwa walisoma sana?
Kutokuwepo kwa jaji mkuu musilamu miaka 49 ya uhuru ni kwasababu hawajasoma
you can fool people sometime but not all the time.
HOLLY MOLLY........ Yaani Siamini huuu Upuuzi, hapa hakuna hoja.... Sasa kama wabunge wanachaguliwa na wananchi Je tuwape viti maalumu waislamu ili namba zao ziongezeke? This is rubbish naomba waislamu wenye akili zao wawapinge hawa mazuzu sababu they give muslims a bad name.
Hao ni mazuzu hata ukiwafanyia nini hawataacha kulalama! Wanaambiwa wasome wanaleta uswahili tu, wanatoa majibu rahisi kwa maswali magumu!Viongozi wa nchi ni Raisi na makamu wake, Jaji Mkuu, Spika na Waziri Mkuu. Je hali ikoje sasa hivi mpaka waone hakuna usawa. Kama hakuna usawa ni upande gani?
JMT
Raisi - Muisilamu
Makamu - Muisiliamu
Jaji Mkuu - Muisilam
Spika - Mkristo
Waziri Mkuu - Mkristo
ZANZIBAR:
Raisi - Muisilamu
Makamu wa Kwanza - Muisilamu
Makamu wa Pili _ Muisilamu
Jaji Kiongozi - Muisilamu
Spika - Muisilamu
Tena wewe ndio mpuuzi kuliko wote hapa nipo rafiki zangu Halima, Ali na Zuberi... hawakubaliani kabisa na huu upuuzi.... kwa hiyo wewe unataka viwepo viti maalumu vya waislamu, kweli wewe mdomo wako una kasi kuliko akili zako....., hapa rafiki yangu Rasta anasema Je na yeye atapata asilimia ngapi kwenye hii nusu kwa nusuunadiriki vipi kuwaita viongozi wetu wapuuzi, kwa hili kila muislam atasimama kidete na kwa taarifa yako kaa ukielewa huu ndio msimamo wa waislamu wote, njoo misikitini utasikia mambo.
nyinyi si mnajifanya wajanja, kama nchi ni ya kwetu wote sasa tutagawana nusu kwa nusu kwa nini iwe kwa jinsia isiwe kwa dini. ya zanzibar waachie wazanzibari wenyewe kazi mnayo
Is that demanding too much? for you.
Kwa hiyo wewe unataka vigezo viwe
75% christian
25% others (all)
hapo hakun udini ha!