Kutoka Kakonko - Kigoma: Yanayojiri katika ziara ya Dr. Slaa

Status
Not open for further replies.

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
TUNTEMEKE NIPO LIVE HAPA KONKONO,

Nipo Live Muda huu hapa kakonko Kigoma kwenye Viwanja Vya Bunge(Wakazi wa hapa ndio wanaita hivyo).Maandamano ni makubwa sana,Ambapo Dr.slaa anategema kufanya Mkutano hapa Jioni ya leo.

Lakini hali si shwari kabisa kutokana na watu kuanza kuongezeka wakiwa na matawi ya miti kwenye viwanja hivi vya Bunge.

Nyimbo ambayo inaimbwa na haikatini ni kwamba "Tunamtaka Zitto wetu",Gari ya M4C ya Pickup ipo hapa ikiwa na watu watatu ndani ikizunguka na kutishia watu kuwa Tutawakamata, Tutawapeleka gerezani, tutawaua, Ondokeni kwenye eneo la Mkutano.

Cha kushukuru ni kwamba Polisi wapo na wamejipanga kukabiriana na Uvunjifu wowote wa Amani.

Gari linatangaza kuwa Dr.slaa anafika hapa baada ya dakika 10

MORE UPDATES TO COME,

Mods na Uongozi wa jf naomba msichanganye Uzi huu na mwingine ni tukio la Kihistoria linakwenda kutokea hapa kakonko, Ni muhimu watanzania wapate live Updates hapa.

UPDATES
Mkutano unaanza hapa Viwanja Vya Bunge,Dr,slaa amefichwa sehemu,amepanda Kiongozi wa kanda ya Magharibu kutuliza wananchi(mwenyekiti wa kanda ya magharibi)

UPDATES,
Dr.slaa ametolewa eneo alilokuwa amefichwa na sasa amepandishwa Jukwaani akiwa na Vijana 13 wa Redbrigade na Polisi watano.

Kwa sasa anazungumzia kuhusu Polisi na nafasi yao kwenye mambo ya siasa,Pia anawaomba sana Polisi wawe karibu kwaajili ya kulinda watu,anashukuru Kuona kuna ulinzi wa kutosha,gari la kumwagia maji.

Wakati anaanza kuzungumza alizomewa sana wa Kundi kubwa la akina mama na vijana wakidai tunamtaka Zitto wetu,Amewaomba atawambia mwishoni alipo,wamsikilize kwa muda kwanza.

UPDATES TENA,

Dr.slaa akiwa kwenye Ulinzi Mkali anazungumzia kuhusu Mabango yaliyopo mbele yake kuwa si katiba ya CHADEMA, Anawatishia vijana na wananchi waliobeba mabango yanayopinga maamuzi ya kamati kuu na kusema nitawapeleka Polisi wote mliobeba Mabango.

Wakuu kupiga Picha hapa ni kazi sana Vijana wa REDBRIGADE wameshamkamata mtu mmoja ambaye anatumia simu yake kupiga picha,wanadai atoe vitambulisho vyake vya uandishi wa habari.

Hivyo kupiga picha hapa inahitaji ujanja sana. Nakumbuka Kijana wa NDAGO alivyouawa na REDBRIGADE kwa kupasuliwa kichwa kwasababu tu aliuliza swali kwenye Mkutano wa Dr.slaa, swali lilikuwa linamnanga Slaa, akavamiwa na kuuawa.

Hivyo najitahidi kuwapa Upddates hizi kwa maneno kwanza
 
Kwani hiyo Picha imetumwa na chama? au mwanakikundi mwenzenu (kama siyo wewe) ameituma ili mpate kitu cha kuongea siku ipite?
 
Tuntemeke malizia kuwa hayo maandamano wewe ndiyo unayaratibu na hicho ndicho kilichokupeleka huko....Umebugi Men!
 
endelea kuota wee mama, toka zako tupishe sie bhanaaaa.... kwanini unaangaika kuzuia mafuliko kwa kijiko.....

toka zako bhana nipishe mie. na bado
 
kweli hii michadema imeshikwa pabaya, picha zimepigwa masaa machache lakini moja ina mikono mifupi nyingine mikono mnirefu. chadema kwisha habari yake
 
Hizo picha zimewekwa na Tuntemeke ,,,,,kwa lengo la kupotosha jukwaa, makene ataweka picha soon

wewe ndo umedanganya na kurugenzi ya habari chadema fungua huu uzi hapa chini halafu utamjua muongo ni slaa au la?
 
Inaonesha unafiki maana kama kweli mikoa ilikuwa inaunga mikono vp leo waanze kuleta picha za uongo! Nadhani dhuluma inawaendesha na uongo na ukweli hawakai pamoja! Mie nadhani itafika wakati watu watakidharau chama!
 
picha moja slaa amevaa nguo ya mikono mirefu na nyingine amevaa ya mikono mifupi.. aibu yenu machadema
 
wewe dada TUNTEMEKE,

mbona wewe ni mwongo hivo yaani una chuki na cdm kweli kweli. kwan nini hasa dada angu. acha wivu au ni kwa sababu umeachika na siku hizi wanakuita nungayembe? Tuliza boli dada yangu. sawa?

WATANZANIA CHADEMA IMEFIKA PABAYA SANA,TAZAMENI PICHA HIZI MBILI ETI NDIO MAANDAMANO YA KIGOMA LEO.
 
Ha ha ha picha hazijawekwa wewe unakuja na nyimbo mpya za kiumbafu ,laana ya kubemendwa kupwa vitu vya bure inawaponza sana hapa hamkutegemea DR Slaa ataingia Kigoma ili mradi mission yenu imebuma nyie masalia na prezzo wote mutatosa na TISS na CCM soon an pretty soon,kesho ngojeni uhuru aandike ,jambo leo, Na maajira wenzenu mwananchi hawana ruzuku ya serikali wamebadili nia baada ya kuona magazeti hayanunuliwi vivyo na Rai wewe ni kupotezewa huna akili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom