Elections 2010 Kutoka jeshini

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,169
10,785
Habari zilizothibitishwa jeshini na kusambaa kwa kasi ni kuwa;

Tume ya uchaguzi haina nguvu tena kwa sasa hivi, UWT na jeshi ndiyo wanahangaika hapa na pale na kufuata wazee waone nini kifanyike

Matokeo yote ya uchaguzi yatatangazwa kwa amri ya mtu mmoja tu mzito, watapiga simu kwake na yeye ndiye ataamua yatolewe au la!!

Taarifa hii imetolewa leo hii saa 11:20 asubuhi.

Hapa UDSM taarifa hii iko hot kujadiliwa what is happening; Ulinzi kuongezwa hasa nyakati za jioni kuanzia KESHO.
 
Hatushangai maana jeshi letu ni kisu cha jikoni. Unaweza ukakinowa hata kwa tofari.
Ni ntindo huohuo unapunguza thamani ya jeshi mpaka kufikia kupigwa makofi na Mgombea.

Huyo mtu mkubwa ni Nani? CDF? Kama ni yeye basi hatuna jeshi! Huo ni wadhifa wenye thamani kuliko fadhila anazopewa.
 
habari zilizothibitishwa jeshini na kusambaa kwa kasi ni kuwa;

tume ya uchaguzi haina nguvu tena kwa sasa hivi, uwt na jeshi ndiyo wanahangaika hapa na pale na kufuata wazee waone nini kifanyike

matokeo yote ya uchaguzi yatatangazwa kwa amri ya mtu mmoja tu mzito, watapiga simu kwake na yeye ndiye ataamua yatolewe au la!!

Taarifa hii imetolewa leo hii saa 11:20 asubuhi.

Hapa udsm taarifa hii iko hot kujadiliwa what is happening; ulinzi kuongezwa hasa nyakati za jioni kuanzia kesho.


mlianza kwa kusema kwamba zile karatasi za kufoji zilizompigia kikwete toka sa zimepelekwa kambi ya ngerengere morogoro!!!leo tena, uchakachuaji; lol!!! Hofu ya kushindwa mlikuwa nayo kabla hamjaingia kwenye uchaguzi
 
Mwaka huu hadi kieleweke. Njama zao zote zimejulikana hadharani, tena mchana kweupe. Wameanza kuby time kwa kutangaza majimbo ambayo JK kashinda ili kuwapumbanza watanzania. Hakieleweki mwaka huu.
 
Gud jeshi letu imarisheni demokrasia kwa staili hii tutafika tu japo tutakuwa tumechoka
 
nimeshuhudia pilika zisizo za kawaida pale jumba letu jeupe. Kuna gari zinaingia kwa fujo mle wanaweza kugonga wapita njia.
Hivi wana risasi za kutosha watanzania wooote????????
Kwa nini vitisho na kadhalika???

Kama UwT wanaingilia harakati za uchaguzi basi wanaondoa uhalali wa taasisi hiyo kisheria. Inabidi sheria iangaliwe upya na kukarabatiwa
 
Back
Top Bottom