Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Sikusikia sehemu ambayo Mgombea urais alisema ata waachia Mashekh na akina Babu sea, alicho kisema ni kuwa tatizo la mashekeh wa Zanzibar na Babu Sea tutalishughurikia, na pia msijitoe ufahamu kuwa swala la mashekhe wa Zanzibar lina utata wa kisheria, walikamatiwa Zanzibar iweje kesi yao iendeshewe Tanganyika

Weee maana yako haswa nin
 
Kitendo cha mwanachama kuimbambele ya mwenyekiti wa chama kwamba wanaimani na lowasa NA mbele ya vyombo vya habari NA hawakuchukuliwa hatuayeyote wala hawakuitwa wasaliti ndaniya chama. Walivumiliwa NA mkutano uliendela mpaka mwisho.wengi wamekua wakitoa misimamo yao tofauti NA chama lakini hawakuitwa wasaliti.nilimshangaa sumaye aliposema katibu mkuu alisema kuna mwazirimzigo. CCM INAAMINI KUJIKOSOA NA KUSOLEWA SI KITENDOCHA UTDHAIFU BALI NIKENDO CHA KUJIAMINI NAKUJIIMARISHA.MTU AJADILIWE KWA HOJA ZAKE NA WALA SI MKE,DINI AU KABILA LAKE
 
mwambieni slaa ajadili hoja sio personal attack kwa lowassa, maana mi niliona amemjadili lowassa mwanzo mwisho hakujadilili hoja yoyote
 
Dr.Slaa vijana kama hao amewaita makasuku.kwasabb yeye mwenyewe aliwahi kuwa mwalimu wa hao MAKASUKU.
 
jme slaa hakumjadili mama rejina ila alisema mambo aliyoyatenda yeye lowasa NA viongozi wengine km lisu anasema mzee alifukuzwa nyumbani,lakini hiyo hakua hoja
 
Last edited by a moderator:
Waliopo Jela wote si kwamba wana Hatia kuna kesi za kutengeneza pia zipo kesi za kubambikiwa kwa nia ya kumkomoa mtu au kutengeneza mazingira ya Rushwa.

Kadhalika sıo kweli kwamba wasiokuwa jera si wezi na mafisadı Edo akıwa mmoja wao.Alıshndwa nini kusema tutahakikisha mahakama zinatenda haki na haki za binadamu zinalindwa.
 
Toa uthibitisho kuwa babu seya na wanae kuwa ni wabakaji, toa uthibisho wa mashehe walofungwa kuwa ni magaidi.

Wewe nawe, uthibitisho ulitolewa mahakamani na mahakama ikathibitisha.Usıkute unatetea kumbe nawe hzo ni tabia zako.
 
Sikusikia sehemu ambayo Mgombea urais alisema ata waachia Mashekh na akina Babu sea, alicho kisema ni kuwa tatizo la mashekeh wa Zanzibar na Babu Sea tutalishughurikia, na pia msijitoe ufahamu kuwa swala la mashekhe wa Zanzibar lina utata wa kisheria, walikamatiwa Zanzibar iweje kesi yao iendeshewe Tanganyika

Mbona washtakiwa wa kigaidi wanakatwa Spain,wanashtakiwa USA na kufungwa Cuba?Hata hvyo nadhani una uelewa mdogo wa mambo ya kisheria na Utawala.
 
Wewe nawe, uthibitisho ulitolewa mahakamani na mahakama ikathibitisha.Usıkute unatetea kumbe nawe hzo ni tabia zako.
MAHAKAMANI, unajua lolote kuhusu mahakama za kibongo? kwa taarifa yako unaweza kuhukumiwa hata kifo kwenye mahakama za kibongo tena bila kosa kwa ushahidi wa kuunga unga, nina watu nawajua wamekoswa koswa kunyogwa na wengine wamekaa ndani miaka kumi kisha wanaambiwa ushahidi ulikosewa kisha wanaachiwa huru. Unasema natetea kwakuwa hizo ni tabia zangu? ok weka wanao mbali nami basi kama unaniona hivyo.

Iliposemwa kuwa wataachiwa huru, maana yake kuwa case itakuwa reviewed in deep kupata proof without doubt na katika case ya mashehe vile vile.
 
Back
Top Bottom