Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Ingependeza sana Dr. Slaa angekuwa mgombea urais kisha Lowassa angekuwa tu mwanachama au angefanya anachofanya mzee Sumaye! Kwa kweli niko njia panda, udiwani na ubunge Uakawa tuko pamoja ila urais nimeegemea zaidi kwa tingatinga, ngoja niendelee kuwasoma hawa watu wawili!
Kumbe we fala ulichangia UKAWA tukose ushindi
 
Back
Top Bottom