Kutoka ITV: Mjadala kuhusu DOWANS; wachangiaji wataka maandamano nchi nzima

HGYTXK

Senior Member
Oct 3, 2011
194
70
Wenye television tuangalie ITV muone mama Nkya na wanaharakati wanavyoichambua dowans,kaazi kweli kweli.Mliuficha wapi ushahidi wote huu na kwa nn sasa?.

dowans-itv.jpg

dowans-itv2.jpg
 
Yupo itv na marumbano ya hoja..mkinga ni mkereketwa haswakwenye suala la dowans.

Hoja ni je? Deni la dowans lina lipika??
 
anasema kesi ya dowans ilifanyika KEMPISKY HOTEL, amponda lowassa asema richmond ambayo iliipa mkataba dowans ilikua kampuni ya kutengeneza kadi za mialiko ya harusi na vifo.
 
Now ktk televisheni ya itv kunamjadara mkubwa sana juu ya richmond,nakushauri angalia mawazo ya wananchi ili umfikishie mshua.
 
kwa hapo kweli hao wanaharakati, wacha huyo mama akione,atajuta kwanini alikuja kwenye kikaango.
 
Hey!JF members naomba yeyote alie na attachment ya kesi ya Dowans,naomba aiapload ili 2isome..............
 
Jamaa wanasema kimsingi suala la dowans kulipwa na TANESCO ni mchezo wa kuigiza, kwani kutoka mwanzo walishakubaliana kuwa endapo km kutakuwa na tatizo kati yao wasiende mahakamani na badala yake waende katika baraza la usuluhishi, ambapo kimsingi maamuzi ya baraza yatakuwa ya mwisho, na walijua wanayafanya haya kwa sababu mwisho wake ungewalizimu kwenda mahakamani. Na hata hukumu iliyotolewa na mahakama ilibase katika makubaliano hayo.

Lakini jambo jingine, na maajabu ya Tanesco kujaribu kuwazuia wanaharakati ambao walikuwa wanapinga mahakamani tuzo kama ilivokuwa imetakiwa na baraza.
 
Mkinga is attempting to pave her way towards 2015 elections. His vitriol and caustic remarks against CCM are largely fictitious and utterly spurious. His trend has normally been followed by a lot of knavish protagonists who manipulate their platforms just to find their way into politics. So I don't see any genuine willingness inside this loquacious crusader but only a desire to leadership.
 
Kama ni nchi hii ambayo wananchi wake wanaishi maisha ya chini ya dollar moja kwa siku,huduma za jamii duni(Hakuna nyumba za walimu,hakuna madawa hospitali,shule hazina madarasa na madawati ya kutosha ) deni halilipiki..kweli magamba wanatupeleka kubaya.Ila kwa uongozi wa magamba na siasa uchwara ya chama chake,na nchi ambayo viongozi wake wanatembelea ma V8 pasipo kujali hali ya wananchi watalipa.
 
deni lina lipika. Jamani tusitake tutafute mchawi. Acheni tu tulipe hli deni yaishe. Tena si inasemekana hao wababe wa richmond ndo haohao wazee wa dowans, bas acha tu watanzania wenzetu wachukue hicho kiasi watawekeza then na sisi wengine tutapata ajira.
 
Mkinga is attempting to pave her way towards 2015 elections. His vitriol and caustic remarks against CCM are largely fictitious and utterly spurious. His trend has normally been followed by a lot of knavish protagonists who manipulate their platforms just to find their way into politics. So I don't see any genuine willingness inside this loquacious crusader but only a desire to leadership.


What is your motive? To support the corrupt ccm regime at any cost? No way, the government must be accountable for this!
 
mkinga is attempting to pave her way towards 2015 elections. His vitriol and caustic remarks against ccm are largely fictitious and utterly spurious. His trend has normally been followed by a lot of knavish protagonists who manipulate their platforms just to find their way into politics. So i don't see any genuine willingness inside this loquacious crusader but only a desire to leadership.
gamba!
 
Haaaaaaaaaaaaa Daaaaa Renatus Mkinga anamwaga cheche mbaya chadema vp muombeni huyu mtu ajiunge kwenu huko maana anafaa sana
 
Back
Top Bottom