Huyu Mkinga nafikiri ndiyo mwanaharakati wa ukweli kuliko wote Tz, anajiamini, haogopi lolote lile.Mcheki mkinga anavyoongea kwa hisia..................................
Watanzania ni watu waoga sana, tupo tayari tuibiwe na watu wachache lakini tutaabike kwa minajili ya amani ambayo imejaa umaskini mtupu kama Somalia isiyokuwa na serikali.watu kama ni kweli tuna uchungu na nchi yetu, tuingie barabarani. Maneno matupu hayafai
jamaa wanasema kimsingi suala la dowans kulipwa na tanesco ni mchezo wa kuigiza, kwani kutoka mwanzo walishakubaliana kuwa endapo km kutakuwa na tatizo kati yao wasiende mahakamani na badala yake waende katika baraza la usuluhishi, ambapo kimsingi maamuzi ya baraza yatakuwa ya mwisho, na walijua wanayafanya haya kwa sababu mwisho wake ungewalizimu kwenda mahakamani. Na hata hukumu iliyotolewa na mahakama ilibase katika makubaliano hayo. Lakini jambo jingine, na maajabu ya Tanesco kujaribu kuwazuia wanaharakati ambao walikuwa wanapinga mahakamani tuzo kama ilivokuwa imetakiwa na baraza.
Yule mama, Ananilea, amesema bila kumumunya maneno: "Tuingie barabarani kwa amani, atakayekataa tumjue. Hakuna mahakama iliyo juu ya wananchi wala kiongozi aliye juu ya wananchi".
Hakuna mjadala zaidi. Utekelezaji uanze mara moja!
Mcheki mkinga anavyoongea kwa hisia..................................
Mwita25 unafikiri ni hilo tu ndiyo lonalo msukuma tu huyu jamaa kuitupia lawama serikali? Mimi nadhani ni mmoja wa watu wenye uchungu na hii nchi.Mkinga is attempting to pave her way towards 2015 elections. His vitriol and caustic remarks against CCM are largely fictitious and utterly spurious. His trend has normally been followed by a lot of knavish protagonists who manipulate their platforms just to find their way into politics. So I don't see any genuine willingness inside this loquacious crusader but only a desire to leadership.
Mkuu CDM ndio wanatoa muongozo? Mimi nadhani wanaharakati kama hao akina Nkya ndio wangetoa muongozo ili maandamano yawe ya watanzania wote sasa kama ni CDM huoni yatakuwa ya wana CDM peke yao?Ndugu wana JF nimepata hamasa baada ya kumsikiliza mama NANILEA NKYA ambaye yuko live ITV ameshauri tuandae maandamano makubwa kupinga kulipa deni haramu la DOWANS.
Napendekeza tuandae maandamano haya siku ya kumbukumbu ya kifo cha mwalimu Nyerere, 14/10 ili kumuenzi mwalimu.
CDM tunaomba mtupe muongozo.
Nawasilisha.
Inawezekana tatizo ni STARTING POINT, kaa vp anzisha tuku join.watu kama ni kweli tuna uchungu na nchi yetu, tuingie barabarani. Maneno matupu hayafai
Mkinga is attempting to pave her way towards 2015 elections. His vitriol and caustic remarks against CCM are largely fictitious and utterly spurious. His trend has normally been followed by a lot of knavish protagonists who manipulate their platforms just to find their way into politics. So I don't see any genuine willingness inside this loquacious crusader but only a desire to leadership.
CDM tunaomba mtupe muongozo.
deni lina lipika. Jamani tusitake tutafute mchawi. Acheni tu tulipe hli deni yaishe. Tena si inasemekana hao wababe wa richmond ndo haohao wazee wa dowans, bas acha tu watanzania wenzetu wachukue hicho kiasi watawekeza then na sisi wengine tutapata ajira.
gamba we..!athubutu aone
Yupo itv na marumbano ya hoja..mkinga ni mkereketwa haswakwenye suala la dowans.
Hoja ni je? Deni la dowans lina lipika??