Kutoka ilani ya CCM haya ndio ahadi na yanayotakiwa kutekelezwa

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Wafanyabiashara Wadogo
(a) Kutengwa kwa maeneo rasmi yenye ukubwa wa hekta 15,822.64 kwa
ajili ya wajasiriamali wakiwemo mama lishe na wauza mbogamboga
kufanyia biashara katika mikoa 19 ya Arusha, Iringa, Mara, Rukwa,
Tanga, Shinyanga, Mwanza, Kilimanjaro, Singida, Morogoro, Manyara,
Njombe, Kagera, Dar es Salaam, Dodoma, Lindi, Geita, Tabora na
Ruvuma;
(b) Kuwezesha wafanyabiashara wadogo kufanya biashara zao bila
bughudha kwa kutoa vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo
zaidi ya 1,527,323 katika mikoa yote Tanzania bara; na
(c) Kuongezeka upatikanaji wa mikopo yenye masharti nafuu kwa
wafanyabiashara wadogo wadogo ambapo Mfuko wa SELF (Small
Entreprenuer Loan Facility) Microfinance umetoa mikopo yenye
thamani ya zaidi ya shillingi billioni 26 kwa wajasiriamali na
kutengeneza ajira zaidi ya 13,000 kwa wanufaika.

IMEAZIMWA KUTOKA KITABU CHA ILANI YA CCM

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Hii ilani ingetekelezwa walau kwa asilimia 60 tu na bila kubagua itikadi huku uzalendo ukiwa ndio kipaumbele CCM kingebaki kuwa chama bora cha siasa walau kuikaribia kwa mbali CHADEMA
 
Kuwa na watalii 5 million ifikapo 2025!!!

Ndumbaru akishindwa...ametolewa ... Ndumbaru alipwaya
 
Wafanyabiashara Wadogo
(a) Kutengwa kwa maeneo rasmi yenye ukubwa wa hekta 15,822.64 kwa
ajili ya wajasiriamali wakiwemo mama lishe na wauza mbogamboga
kufanyia biashara katika mikoa 19 ya Arusha, Iringa, Mara, Rukwa,
Tanga, Shinyanga, Mwanza, Kilimanjaro, Singida, Morogoro, Manyara,
Njombe, Kagera, Dar es Salaam, Dodoma, Lindi, Geita, Tabora na
Ruvuma;
(b) Kuwezesha wafanyabiashara wadogo kufanya biashara zao bila
bughudha kwa kutoa vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo
zaidi ya 1,527,323 katika mikoa yote Tanzania bara; na
(c) Kuongezeka upatikanaji wa mikopo yenye masharti nafuu kwa
wafanyabiashara wadogo wadogo ambapo Mfuko wa SELF (Small
Entreprenuer Loan Facility) Microfinance umetoa mikopo yenye
thamani ya zaidi ya shillingi billioni 26 kwa wajasiriamali na
kutengeneza ajira zaidi ya 13,000 kwa wanufaika.

IMEAZIMWA KUTOKA KITABU CHA ILANI YA CCM

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
ILANI ya 2015/2020 ilikuwa na Suala la KATIBA MPYA lakini LEO hii CCM ndio ya kwanza KUPINGA KATIBA MPYA
 
Back
Top Bottom