Kutoka Ikulu: Kamanda Simon Sirro aapishwa kuwa IGP, amrithi Ernest Mangu

hahahaha, mkuu nimekuaminia, inaonekana umeishi sana Rorya, vipi haujaoa ujaluoni.. Karibu tena shirati. Mimi nipo hapa hapa mjini ila kwetu no kirongwe Kama unapafaham

Mkuu sijaoa huko , baada ya kutoka Rorya nimeenda kuishi Tarime, mwanza, ukerewe ,arusha na mwisho wa siku nikatoka na mwali ukerewe. Huko napajua sana, kirongwe nakujua niliwahi kuwa na urafiki na mwalimu moja alikuwa anaitwa mwl Barnaba akiwa anafundisha Utegi pale kwao ni huko. Aisee huko nakujua sana, wengi wanadhani mimi ni mtu wa huko maana naongea lugha za huko vzr sana
 
Hongera IGP Sirro changamoto ni kuboresha Jeshi la Polisi liwe la kisasa zaidi katika vifaa,mbinu,huduma na customer care
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom