Kutoka Ikulu: Baraza la Mawaziri kutangazwa J'tano (kesho)

Status
Not open for further replies.
Halafu eti hii ni taarifa kutoka ikulu, sijui ni lini hao jamaa watajifunza kuwa objective kwenye taarifa zao!!!!!!!!!

Letter Head in English-Taarifa kwa Kiswahili, Kiswa-kinge utadhani imeandikwa na wana JF!Jamani-jamani-jamani,kwanini tusichague tuwe na English for everything? Mnyika hebu kalipiganie hili bungeni kwa nguvu zote ili usanii kama taarifa hii usiwepo kwa siku za usoni
 
Baada ya kukataa kwa muda sasa kutokana na ushauri aliyokuwa anapewa na rafiki zake wakiongonzwa na Seleli aliyesafiri toka Dar kwenda Dodoma kumwambia Sitta asikubali kupewa uwaziri, sasa dhamana ameikubali na kupuuza maneno ya marafiki. Ndiye Waziri wa SHERIA NA KATIBA. Nakutakia kila la kheri na uongoze kwa haki na si majungu.
 
kWA MUDA..........SAA MBILI NA DAKIKA AROBAINI NA NANE KWA MASAA YA HAPA TZ YA LEO HII TAREHE 24/11/2010 NADHANI HII NI TETESI.............
 
Uwezekano wa jipya kuwepo ni mkubwa... Najua wengine mtashtuka ikitokea mtu wa kambi ya upinzani ataingia katika baraza jipya

Hii imesemwa sana tusubiri tuone leo lets not get shocked ukisikia Mrema na Zitto wakawa mawaziri
 
Wengi watarudi walewale, hata Selina Kombani kapewa wizara yake ileile ya TAMISEMI. Source: TAMISEMI( Confidential)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom