Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,646
- 119,250
Wanabodi,
Niko hapa Holili kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya, kuwaletea Uzinduzi wa Kituo Kimoja cha Ukaguzi wa Mipakani, yaani One Stop Border Post or OSBP, katika kuhakikisha, wewe kama mwana JF be the first to know.
Shughuli ilianza mapema, saa hizi Mgeni Rasmi, Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Agustine Mahiga, anazungumza.
Amesema kiukweli hakuna mpaka kati ya Tanzania na Kenya kwa sababu sisi wote ni wamoja, bali hii mipaka iliyowekwa, iliwekwa na wakoloni Wajerumani ili tuu kutugawa, devide and rule!.
Hivyo amesema ili Jumuiya ya Afrika Mashariki isitawi, lazima kwanza tuvunjilie mbali hii mipaka ya wakoloni, tuunde Taifa moja jipya, la Afrika Mashariki, lenye sheria moja, uchumi mmoja, sarafu moja, nchi moja yenye lengo moja. ndipo tutaweza kuzishinda changamoto za utandawazi.
Balozi Mahiga kumbe ni Orator Mzuri.
Fuatana nami.
Paskali.