Kutoka hasara ya Billioni 349 hadi gawio la billioni 9 mwaka huu!

Dua

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
3,229
662
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Rais JPM alipoingia madarakani pamoja na umeme wa kusuasua na vijinereta kushamiri kila kona ya nchi, hususan Kariakoo na popote pale Tanzania ambako wananchi walihitaji umeme wa kufanya shughuli zao bila longo longo.

4 years hakuna aliyetegemea Tanesco kuwa shirika linalotoa gawio kwa Serikali na kujiendesha bila kukuru kakala. BWM pamoja na JK walishindwa (I mean failed) hawakuweza kutatua hili tatizo.

JPM, I mean the guy with guts to remove chronic problems and now is leading this country to prosperity. To make Tanzania a place of choice for investments and make Tanzanians life better.
 
Jiwe a.k.a Mr. Misifa! Kwake mtake msitake lazima mumsifie! Yeye anataka hivyo! Hata hizi mvua zinazonyesha ni juhudi zake! Ccm bhana......Teh teh teh
 
Kelele za Jenereta zingetoboa ngoma za Masikio kati kati ya Mji

Engineers wa Tanesco walikuwa wakishafungulia maji Mtera wanapeleka Waandishi kutuonesha kina cha Maji kimepungua hivyo wanazima Mtambo

Tangu kaingia Magu akawapiga mkwara hadi leo hawajaigiza tena
Kaka Pohamba kuna watu huko motoni ni sehemu ya kuni za kukoleza moto.
 
Tunajua kuwa umeme huu unatokana na uwezekanaji uliopatikana baada ya miradi ya Kinyerezi I na Kinyerezi Ii kuingia kwenye grid ya taifa.
Nani hasa ni initiator wa miradi hiyo?
Maana tusije kusifia utamu wa pilau kwa kumsifu mkoboaji mchele na kumsahau mlimaji wa mpunga
 
Umenikumbusha usemi wa Makonda (huyu RC wa Dar na sio yule original mtangazaji wa Radio) kwamba wasio msifia Magufuli tukifika mbinguni watakuwa wako motoni wanaungua yeye na wasifiaji wengine watakuwa wanakula 'laha' kwa Mungu!
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Rais JPM alipoingia madarakani pamoja na umeme wa kusuasua na vijinereta kushamiri kila kona ya nchi, hususan Kariakoo na popote pale Tanzania ambako wananchi walihitaji umeme wa kufanya shughuli zao bila longo longo.

4 years hakuna aliyetegemea Tanesco kuwa shirika linalotoa gawio kwa Serikali na kujiendesha bila kukuru kakala. BWM pamoja na JK walishindwa (I mean failed) hawakuweza kutatua hili tatizo.

JPM, I mean the guy with guts to remove chronic problems and now is leading this country to prosperity. To make Tanzania a place of choice for investments and make Tanzanians life better.

UMIZIONAGA WAPI FINANCIAL STATEMENTS ZA TANESCO ZA MIAKA HIYO ILI KU JUSTIFY KWAMBA WALIKUWA WANA OPERATE UNDER 349M LOSS.ACHENI UZWAZWA NYIE MATAGA.AISEE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MATAGA NAONA MNAPAMBANA
 
Umeamka salama ni juhud zake, una bundle ni juhud
Jiwe a.k.a Mr. Misifa! Kwake mtake msitake lazima mumsifie! Yeye anataka hivyo! Hata hizi mvua zinazonyesha ni juhudi zake! Ccm bhana......Teh teh teh
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Rais JPM alipoingia madarakani pamoja na umeme wa kusuasua na vijinereta kushamiri kila kona ya nchi, hususan Kariakoo na popote pale Tanzania ambako wananchi walihitaji umeme wa kufanya shughuli zao bila longo longo.

4 years hakuna aliyetegemea Tanesco kuwa shirika linalotoa gawio kwa Serikali na kujiendesha bila kukuru kakala. BWM pamoja na JK walishindwa (I mean failed) hawakuweza kutatua hili tatizo.

JPM, I mean the guy with guts to remove chronic problems and now is leading this country to prosperity. To make Tanzania a place of choice for investments and make Tanzanians life better.

Mtafute kwanza alietoa wazo la kinyerezi one and 2
 
Tunajua kuwa umeme huu unatokana na uwezekanaji uliopatikana baada ya miradi ya Kinyerezi I na Kinyerezi Ii kuingia kwenye grid ya taifa.
Nani hasa ni initiator wa miradi hiyo?
Maana tusije kusifia utamu wa pilau kwa kumsifu mkoboaji mchele na kumsahau mlimaji wa mpunga
Mkuu umenena, pili hatujui madeni makubwa ya Tanesco ni nani anayalipa? Mwenye inside info atusaidie kabla hatujaanza kushangilia hii "turn round" ya hili shirika ambalo kitambo kidogo world bank walisema lilikuwa "insolvent".
 
Back
Top Bottom